kusangala
Member
- Mar 4, 2017
- 60
- 26
Wakuu,,ni kijana ambaye sijaoa,mara nyingi nkikutana na mwanamke mwenye kamwonekano lazima nimtamani na kupelekea kuwa na tamaa ya kutamani nikampe dozi,,imekua ikinitokea hali hiyo hata kama nikitoka kugegeda sasa hivi,,naichukia hali hii,nifanyaje kuepukana na hii hali,,,au nini dawa yake??? Tafadhali lugha mzuri itumike wakati wa ushauri