Soma aisee hatuna madaktari, unakimbilia wapi au kuna urithi unakuzuzua?Habari za mida hii wana jamii forum, naitwa caleb nakuja kwenu natafta mchumba ataekua mke, awe wa umri chini ya miaka 22, asiwe mnene sana, mkristo wa dhehebu lolote, binafsi mimi ni mkatoliki, nna miaka 23,urefu 168cm, 56kg, blood group o- nmemaliza kidato cha6(pcb)2016, ila sikubahatika kujiunga na chuo kikuu(japo nlifaulu point9) ktokana na matatzo bnafsi. Hvo yeyte MWENYE MAPENZI YA DHATI analiye tayar kuingia ktk mkataba wa uhusiano, ntamshkuru sana n ntamlea na kumthamin sku zote ntakapokua hai, alie tayar ani PM, au anitext 0625893832
Mmh wazee mnasumbua sana,na vijana nao wanachagua chagua aah tabu tupu
Zawadi yenyewe ina masharti hivyo nimeghairi aiseeSasa itakuwaje? Hakuna kimbilio na kubaki single haiwezekani, pima mizani fasta.
Wapi emmyta? Nina zawadi yake ya siku ya wanawake duniani, tulikubaliana aifate nyumbani naona siku inakaribia kuisha.
Sasa itakuwaje? Hakuna kimbilio na kubaki single haiwezekani, pima mizani fasta.
Wapi emmyta? Nina zawadi yake ya siku ya wanawake duniani, tulikubaliana aifate nyumbani naona siku inakaribia kuisha.
Tatizo mizani mibovu,ntapima uzeen kabisa
Zawadi yenyewe ina masharti hivyo nimeghairi aisee
Mizani ya uzeeni ni shida, ikikwambia una kilo 98.7 unaweza kujikuta unaukatalia na kulalamika kwamba mzani umekuonea, una kg 57.
Bora umemuuliza.Aisee hivyo hivyo bana. Enhee vipi zawad mbona ya mmoja tu?
Hahahaaa! Kwa hiyo hata mimi sitaionaHa! Basi tukutane pale Toroka Uje nikukabidhi, si unajua zawadi yenyewe inabidi nikukabidhi bila watu kuona.
Hahahaaa! Kwa hiyo hata mimi sitaiona
Bora umemuuliza.
Mmh zawadi za kugawana watu wa kutoa huwa hazinogi bana
No, ni ili kutoingiliana kwenye anga mkaja kudondosha ndege bure.