Habarini wapendwa wa JF
Ni matumaini yangu wote ni wazima.
Naombeni ushauri, mume wangu amenichunia yapata sasa wiki tano. Haniongeleshi na mm nmenyamaza tu maana nimeshachoka kila saa...
Habari zenu ndugu zangu bila shaka mko poa,,
kuna jambo linanisumbua naombeni ushauri wenu kabla sjafanya chochote ,,,ni hivi
kuna binti mmoja nilikua nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo...
Akina Mama fulani Watatu ambao muda mfupi walikuwa mubashara wakiwawasilisha Wanawake wenzao wamesema kuwa hata kama leo wanasheherekea siku yao ( ambayo binafsi sioni tija yake ) ya Wanawake...
kuna jamaa mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi kwenye kampuni .Ni mtu mzima ana familia yake .Tatizo huyo bwana ana tabia mbaya vibaya mno ya kushika shika wanawake ovyo .Akija ofsini anataka...
Kuna aina ya Wanawake huwa wanasababisha
Boyfriend zao wacheat...
Wana Masharti kama fomu
ya kujiunga DECI...
Hawataki Romance, eti mate uchafu...
Hawataki uwaguse Kiharage wakati wa...
Habari zenu wapendwa mimi nikijana ambaye bado natafta maisha kwa namna nyingi mimi ni mwanachuo pia ni mjasiriamali mdogo hapa Tanzania.
Kuna kitu kinanisumbua sana katika nafsi yangu hata...
Kijana upo 35 hadi 40 una watoto 3 au 2, mama tofauti bado unatafuta mke wa kuoa, halafu kwenye thread za kuponda masingle maza wewe upo, hutaki single maza, hao wadada wa watu uliowazalisha...
Habari,
Katika pita pita zangu huku town nilikutana na mtoto wa kihindi kama kachanganya na mwarabu. Nilijitosa akanipa namba.
Baada ya wiki nikaanza mambo. Mtoto yule kanielewa tukawa tunaongea...
Habari wana JF
Matumizi ya kila siku ya kikombe kimoja cha chai chenye mchanganyiko wa tangawizi(ya unga au kawaida),mlonge(unga) kijiko kimoja,unga wa mbegu za tikiti maji huku nikitumia...
Naomba madereva waache tabia ya kushusha watu porini eti abiria wachimbe dawa. Watoto wadogo wanaona dudu za wakubwa (wake kwa waume) na hata restaurant/baa zingine zina vyoo visivyoweka kingo...
Wanandoa wapya waliooana muda si mrefu waliishi maisha ya kimasikini sana. Siku moja mume akamuita mke wake akamwambia, "mke wangu naondoka naenda safari ya mbali kwenda kutafuta mali ili tuje...
Mfano mie napenda nimpate mwanaume mrefu, mcheshi, mchapakazi, asiwe mchoyo asiwe mpenda ndogo, asiwe na maringo. Je, inawezekana kumpata?
Pia asiwe mchafu maana wanaume wengine mhhh! Na anipende...
Jamani nichukue nafasi hii kabisa kwanza kutangaza interest kuwa nampenda MAMA YANGU kuliko wanawake wote duniani.
Pili nije kwenu nyie maua na viburudisho vya nafsi zetu sisi wanaume (naongelea...
Mim ni msichana, umri miak 26 ,elimu yangu kidato cha sita.. nahitaji mwanaume wa kuwa nae kimaisha anayefanana na mm, yaan kwenye vvu, awe na umri kati ya miaka 28-32 ,pia awe muislamu kwa sababu...
Naitwa Peter Odada, miaka 31
Kabila Jaluo, Urefu cm 182, rangi maji ya kunde, elimu diploma ya biashara(CBE Dodoma)
Kazi biashara makazi Kilimanjaro.
SIFA ZA MKE
Awe na elimu kidato cha 4...
Rejea kichwa husika hapo juu...
Wiki iliyopita nilikuwa na SHOW na demu mmoja hivi na ilikuwa ni mara ya kwanza kusex nae.
Before game yenyewe nilijiamini kabisa nikajua naenda kutawala na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.