dracular
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 769
- 1,061
Habari ndugu zangu wanafamilia wa jf?? Matumaini yangu ni wazima wa afya njema...
Ndugu yenu nahisi nime athirika kisaikolojia kutokana na mambo niliyo yapitia..
Tangu mwanamke nilie mpenda kwa moyo wangu wote kupigwa mimba na jamaa flani hapa mtaani then akanisingizia kuwa mimba ni yangu mpaka rafiki ake alipokuja kuniambia ukweli then na mimi nika m bana binti anieleze ukweli akakubali kuwa mimba haikuwa yangu... Tangu siku hiyo hakuna kiumbe ninacho kiogopa kama mwanamke.. Ni mwaka sasa unaelekea kukatika lakini taswira ya huyu mwanamke bado ipo kichwani..
Naumia sana nikikumbuka tulivoishi pamoja lakini aka diliki kugawa K kwa jamaa mwingine mpaka kubeba mimba tena bila hata mimi kumfanyia ubaya wowote..
Nafkiri haijawahi kupita siku bila kumfikiria na moyo wangu unaniuma sana..
Yaani moyo wa kupenda umepotea kabisa hata nikijitahidi kiasi gani kupenda tena nashindwa naishia kutamani na taswira za yule msaliti bado zinatawala kichwani...
Huwa naumia zaidi nikiwa nimekaa pekeangu au nikiwa kwenye basi safarini au ninapopita kwenye maeneo tuliokuwa tunapenda kaa nae..
Nimejitahidi sana kumsahau lakini naona hii hali bado ipo tu.. Kanifanya niogope kabisa kuhusu hata habari za ndoa au kuishi na mwanamke
Jamani nifanyeje na mimi niwe na furaha kama watu wengine??
Na hizi kumbukumbu zitaisha lini?
Natamani sana kuishi kama zamani maisha ya furaha na amani.... nishaurini wanafamilia wenzangu
Ahsanteni