Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Leo kama tujuavyo ni siku ya wanawake duniani ambayo ni 8 machi,2017 kauli mbiu "NAMTHAMINI MWANAMKE".
Kwa Mimi " SIMTHAMINI MWANAMKE" kwa sababu.
1.Zaidi ya asilimia 70 ya watumiaji wa dawa za kulevya ni wanawake,ndio kundi kubwa linaloathirika zaidi duniani si Tanzania tu,bali nchi mbalimbali za duniani.
2.Wanasemaga Haki sawa kwa wanawake.Ingelikuwa haki sawa kwa wanawake basi nchi ya amerika wangelimpitisha Mama Hilary Clinton badala ya Mwanaume yule.
3.Sikubaliani kazi za kiume wafanye wanaume tupu tushirikiane wote kati ya mwanamke na mwanaume ili tuone huo usawa.
4.Mwanamke kaumbwa kwa mbavu za kushoto kutoka kwa mwanaume ingelikuwa ameumbwa sawa na mwanaume, Mwanamke NINGEMTHAMINI.
5.Mwanamke awe dokta bingwa halafu amtibu mwanaume kwa kweli SIMTHAMINI MWANAMKE. Nitatibiwa na mwanaume mwenzangu.
"SIMTHAMINI MWANAMKE"