yolk
Senior Member
- Jan 29, 2017
- 137
- 240
Hapa jirani kuna mdada fulani ni mke wa mtu. Wamehamia juzi juzi tu, mara nyingi akiwa amekaa nje anaosha vyombo au anafua na mimi nikiwa nimepumzika kibarazani, huwa tuna-make eye contact sana,kwa sababu nyumba zimetazamana,
mwanzoni nilidhani kuwa ni coincidence tu! ila nilikuja kugundua kuwa huwa anachukua muda mrefu sana kunitazama wakati nikiwa simuangalii, kwa sababu nikikutanisha naye tu macho huwa nagundua kuwa alikuwa ananitazama muda mwingi maana nakuta kazubaa kabisa na kaacha kufanya alichokuwa anafanya, halafu baada ya hapo huwa anakwepesha macho haraka sana na kuendelea na shughuli yake.
Kabla sijafanya maamuzi magumu naomba niwaulize kwanza wazoefu wa matukio kama haya, kwamba huyu ananifanisha na mtu au ananipenda..!