Moyo waliopewa wanawake akipewa mwanaume hata kwa siku mbili anakufa

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
Ule uwezo wa kuvumilia Maumivu ya Kuzaa ndio huwa unawafanya wavumilie mambo wanayotendewa na Wanaume kiasi ambacho hadi wewe Mwanaume unajiuliza,HADI HILI AMENISAMEHE,INAWEZEKANAJE! Kama kuna jambo Wanaume huwa wanakosea basi ni kudhani kwamba Wanawake ni Wajinga...

Hawajawahi kuwa Wajinga ila Wameumbwa na Moyo wa Uvumilivu uliopitiliza..

Na Mungu aliwatengeneza hivyo makusudi...Ni sawa na Mwanamke anavyoweza kumvumilia Mwanaume ambaye kwa Miaka 10 anamgusagusa tu bila kumfikisha kileleni lakini Mwanamke yupo tu..Uvumilivu ulioje! Mwanamke anayeweza kukaa na Mwanaume mlevi anayempiga ngumi kila akirudi ila yeye yupo tu..

Sio kwamba ni Mjinga,LA HASHA!Ni katika ule Uvumilivu tu.. Kasheshe ni pale Mwanamke huyu ANAPOCHOKA...Anaweza akavumilia miaka 10...Unampiga...

Anakufumania..Humfikishi Kileleni..Ila Siku Akichoka akasema KWAHERI,Ule Moyo wa Uvumilivu huwa UNAGEUKA na kuwa JIWE GUMU na hata uimbe mashairi ya "Bado ananijia ndotoni ila nikiamka simuoni bado ananijia nikilala Haki ya Mungu sio masihara" HATARUDI na utabakia kiwete wa mahaba yake daima...

Kabla hajafikia Stage ya KUKUCHOKA,chondechonde kumbuka nayeye ana Moyo,MPE ANACHOSTAHILI!

Usichanganye Uvumilivu wake ukadhani ni Ujinga,

ITAKUCOST
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,umeongea point Ila hujagusia jinsi weng wao walivyo wasaliti na waumiza mioyo yetu.
 
Asilimia 49 ya watoto walochukuliwa DNA iligundulika kuwa kuwa hawskuwa wa baba husika.
 
Kazi ngumu anayoifanya mwanamke ni moja tu, kukaa na ujauzito na kuzaa tu, nyengine zote za kawaida
 
Ule uwezo wa kuvumilia Maumivu ya Kuzaa ndio huwa unawafanya wavumilie mambo wanayotendewa na Wanaume kiasi ambacho hadi wewe Mwanaume unajiuliza,HADI HILI AMENISAMEHE,INAWEZEKANAJE! Kama kuna jambo Wanaume huwa wanakosea basi ni kudhani kwamba Wanawake ni Wajinga...

Hawajawahi kuwa Wajinga ila Wameumbwa na Moyo wa Uvumilivu uliopitiliza..

Na Mungu aliwatengeneza hivyo makusudi...Ni sawa na Mwanamke anavyoweza kumvumilia Mwanaume ambaye kwa Miaka 10 anamgusagusa tu bila kumfikisha kileleni lakini Mwanamke yupo tu..Uvumilivu ulioje! Mwanamke anayeweza kukaa na Mwanaume mlevi anayempiga ngumi kila akirudi ila yeye yupo tu..

Sio kwamba ni Mjinga,LA HASHA!Ni katika ule Uvumilivu tu.. Kasheshe ni pale Mwanamke huyu ANAPOCHOKA...Anaweza akavumilia miaka 10...Unampiga...

Anakufumania..Humfikishi Kileleni..Ila Siku Akichoka akasema KWAHERI,Ule Moyo wa Uvumilivu huwa UNAGEUKA na kuwa JIWE GUMU na hata uimbe mashairi ya "Bado ananijia ndotoni ila nikiamka simuoni bado ananijia nikilala Haki ya Mungu sio masihara" HATARUDI na utabakia kiwete wa mahaba yake daima...

Kabla hajafikia Stage ya KUKUCHOKA,chondechonde kumbuka nayeye ana Moyo,MPE ANACHOSTAHILI!

Usichanganye Uvumilivu wake ukadhani ni Ujinga,

ITAKUCOST

Mkuu, wangekufaje wakati wameshakuwa na moyo wa vile? Moyo huo unaowastahimilisha wanawake, kama wangepewa wanaume pia ungewastahilisha.

Wwe sema, wanaume na mioyo waliyonayo hiyo ya kiume, kama wangefanyiwa yale wanayofanyiwa wanawake, wengi wao ndipo wangelikufa!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom