Nina mpenzi anataka kunioa lakini mimi simpendi, Nifanyaje?

akha!! ufanyaje..? kama humpendi mwambie ukweli mwache afanye yake nawe ufanye yako kama unashindwa kumwambia mwambie kwa matendo
 
utakapomwacha, kesho utakuja kulia umepata kimeo mtu unampenda yeye hakupendi.

wanawake watu wa ajabu sana. endelea kuhangaika wakati haurudi nyuma, utakapofika miaka arobaini ndo utaelewa.
wanaume wenyewe tupo wachache, humo humo bado kuna wengine mash...ga.
 
Nyie ndio mnafanya ndoa za miaka hii zisidumu sasa unashindwa vipi kumwambia humpendi au kisa umesikia ndoa.

Kama humpendi mwambie tu ukweli ili asipoteze muda wake.
yani najuta sijui nifanyaje na umri unaenda
 
Back
Top Bottom