Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,252
Eeeeeee jamani jamani kha kama na wewe upo humu ukome, mara ef 10, kesho mwingine efu 30 mara efu 60 , leo ef 25, mwingine nikopeshe lak2, jamani hata ATM wakati mwingine inaishiwa hela, kaeni mkijua huku hali ni tata, hakuna cha deal, hakuna safari,HESLB macho kodo, hakuna kupanda cheo isipokuwa kushuka tu kiufupi mambo ni tight nyie mnopenda kuomba omba hela muaache(wazazi ruksa) wengine kaeni pembeni kwanza mpaka 2021, mkiendelea nitawasema kwa ngwajima
Asanteni
Asanteni