Mjadala: Sheria ya mzinifu alooa na ambaye hajaoa ( kiislam)

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,173
5,655
Habari humu ndani,

Hivi katika nchi kama Tanzania kwa mzinifu aliyeolewa/ kuoa na ambaye hajaoa/ hajaolewa katika sheria ya kiislam inaweza kutumika? Kama siyo dhambi itasamehewa kwa kutubu 2?

Karibuni mtupe elimu kwa mnaofahamu, kama haikuhusu ama haujui hekima /busara itumike.
 
Inamaana hamna mnaojua hii mambo, wapi faizafoxy
 
Nani atatia neno haraka haraka wewe!! Wakati inajulikana wazi kabisa kwamba asilimia kubwa tu ya jamii ni wadhinifu hapo kwetu kwa Mama Tanzania...
 
Sharia inafanya kazi popote.tatizo hamchelewi kukimbilia haki za binadamu.
 
Nchi ya Tz haifuati sheria Za kiislamu hivyo kwa fatwa ilokuwepo kwa nchi Kama ya Tz ukishajua kuwa umetenda kosa na unahitaji kujisafisha kwa sheria Za kiislamu Basi unatakiwa umfuate Shekh na umwambie dhambi uloitenda Kama ni mwanamke au mwanaume ambae hajaowa au kuolewa atapigwa bakora mia 100 zenye nguvu sawa.ama kwa walioa au kuolewa mwanamke au mwanaume Basi wapigwe mawe hadi kufa. Hapo hukmu itakua imepita.
 
Nani atatia neno haraka haraka wewe!! Wakati inajulikana wazi kabisa kwamba asilimia kubwa tu ya jamii ni wadhinifu hapo kwetu kwa Mama Tanzania...
Hii ni open debate, haijalishi ww ni mzinifu ama la, tunachohitaji ni majawabu ya kutupanua bongo zetu
 
Nchi ya Tz haifuati sheria Za kiislamu hivyo kwa fatwa ilokuwepo kwa nchi Kama ya Tz ukishajua kuwa umetenda kosa na unahitaji kujisafisha kwa sheria Za kiislamu Basi unatakiwa umfuate Shekh na umwambie dhambi uloitenda Kama ni mwanamke au mwanaume ambae hajaowa au kuolewa atapigwa bakora mia 100 zenye nguvu sawa.ama kwa walioa au kuolewa mwanamke au mwanaume Basi wapigwe mawe hadi kufa. Hapo hukmu itakua imepita.
So kadhi ndo mwenye mamlaka iyo?
 
Mimi sikufafanua kwa haraka zangu kwamba nilikuwa najibu ulivyo uliza "hamna anayejua juu ya hii mambo" au ulisema kitu kama hicho... ndio nilikuwa na make a point tu kwamba sio maada ambayo umepata response kwa haraka kwa sababu mmoja wapo ni many many people are guilty of this shameful sin, na hawataki kusema mengi.... maybe I'm wrong, lakini ndio nilivyo waza instantly na nikai weka hapa hadharani...

Wengine wataijaza nyama zaidi na kwa upana zaidi...
 
Habari humu ndani,

Hivi katika nchi kama Tanzania kwa mzinifu aliyeolewa/ kuoa na ambaye hajaoa/ hajaolewa katika sheria ya kiislam inaweza kutumika? Kama siyo dhambi itasamehewa kwa kutubu 2?

Karibuni mtupe elimu kwa mnaofahamu, kama haikuhusu ama haujui hekima /busara itumike.
Kaka sheria hiyo kwa nchi ya isiyoongozwa kwa sheria za kiislamu haifanyi kazi.Ni juu yako mfanyaji kurudi kwa Mola wako na kutubu toba iliyo ya kweli na Allah aliyejuu ni mwingi wa huruma na mwingi wa kusamehe.
 
Nchi ya Tz haifuati sheria Za kiislamu hivyo kwa fatwa ilokuwepo kwa nchi Kama ya Tz ukishajua kuwa umetenda kosa na unahitaji kujisafisha kwa sheria Za kiislamu Basi unatakiwa umfuate Shekh na umwambie dhambi uloitenda Kama ni mwanamke au mwanaume ambae hajaowa au kuolewa atapigwa bakora mia 100 zenye nguvu sawa.ama kwa walioa au kuolewa mwanamke au mwanaume Basi wapigwe mawe hadi kufa. Hapo hukmu itakua imepita.
Kaka umeanza vizuri ila umepotosha kuanzia pale uliposema unaenda kwa shekhe kisha atoe hukumu.Katika hilo kuna swali lazima ulijibu au kuna mambo muhimu lazima uyajue.Katika sheria ya kiislamu kuna hukumu ambazo hazitolewi isipokuwa lazima awepo kiongozi wa dola yaani kiongozi wa nchi husika ambayo inahukumu kwa mujibu wa sheria za kiislamu,mfano ni huo wa hukumu ya mzinifu wa kike na mzinifu wa kiume aliyeowa na aliyeolewa na ambaye hajaowa na ambaye hajaolewa.

Kwahiyo maneno yako si sahihi.Atakaye zini ni wajibu wake kufanya toba na toba pia ina masharti yake.

Baadhi ya masharti ya kukubaliwa toba.

1.Kujutia kosa ulilolifanya

2.Kukubali kwamba umefanya kosa

3.Kulipiga vita kosa hilo na kuwakemea wale wanaofanya kosa hilo

4.Kuacha kufanya kosa hilo kwa ajili ya kumridhisha Mola aliytukuka

n.k.....
 
Sahihi kabisa. Kwakuongezea,anaetoa hukumu hiyo ni lazima awe na nguvu za kidola kulazimisha inapobidi hukumu hiyo itekelezwe. Si kila muislamu anaweza kufanya hivyo.

Pia hata nchi kama Tanzania iwapo serekali itaruhusu basi sharia hiyo itatekelezwa.
 
Kaka sheria hiyo kwa nchi ya isiyoongozwa kwa sheria za kiislamu haifanyi kazi.Ni juu yako mfanyaji kurudi kwa Mola wako na kutubu toba iliyo ya kweli na Allah aliyejuu ni mwingi wa huruma na mwingi wa kusamehe.
Thanks mkuu kwa jawabu murua
 
Kaka umeanza vizuri ila umepotosha kuanzia pale uliposema unaenda kwa shekhe kisha atoe hukumu.Katika hilo kuna swali lazima ulijibu au kuna mambo muhimu lazima uyajue.Katika sheria ya kiislamu kuna hukumu ambazo hazitolewi isipokuwa lazima awepo kiongozi wa dola yaani kiongozi wa nchi husika ambayo inahukumu kwa mujibu wa sheria za kiislamu,mfano ni huo wa hukumu ya mzinifu wa kike na mzinifu wa kiume aliyeowa na aliyeolewa na ambaye hajaowa na ambaye hajaolewa.

Kwahiyo maneno yako si sahihi.Atakaye zini ni wajibu wake kufanya toba na toba pia ina masharti yake.

Baadhi ya masharti ya kukubaliwa toba.

1.Kujutia kosa ulilolifanya

2.Kukubali kwamba umefanya kosa

3.Kulipiga vita kosa hilo na kuwakemea wale wanaofanya kosa hilo

4.Kuacha kufanya kosa hilo kwa ajili ya kumridhisha Mola aliytukuka

n.k.....
Mashaallah
 
Back
Top Bottom