Unaomba ushauri kwani huna akili ya kufikiri mwenyewe?

mis lemich

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
207
176
Habari wakuu,

Mtu anaweka wazo kupata ushauri au kupata ideas za watu inamaana hana akili ya kufikiri mwenyewe?

"Kunawatu wanaimani tofauti na hili tusaidiane hapa .."greatthinkers'
 
humu watu wanajiita great thinkersss.
Na ukipost thread so kwamb ndio maisha yako halisi...all this ni scene made to see how people with great ideas may.....
 
Habari wakuu.....
MTU anaweka wazo kupata ushauri...au kupata ideas za watu ..inamaana Hana akili ya kufikiri mwenyewe...... ??
"kunawatu wanaimani tofauti na hili tusaidiane hapa .."greatthinkers'
 
Unataka kusema hata hili limekushinda kujibu au, haya leta jibu hapa haraka usilete mchezo
 
Unataka kusema hata hili limekushinda kujibu au, haya leta jibu hapa haraka usilete mchezo
Kuyakusanya mawazo ya wenye dunia ... Ni changamoto ya akili ..kwa kila anayepata dhoruba .ya kiakili na mda mwingine inampa MTU kiasi kikubwa cha relif
 
Wewe mwenyewe huna akili maana umekuja hapa kuomba ushauri maana ake umeshindwa kupata jawabu. Huna akili mkuu. Narudia tena huna akili mkuu.
Naona sasa mkuu....utakua mwenzangu...[HASHTAG]#online[/HASHTAG]
 
huyu atakua anafkiria
Akiwa uchi maana title na
Thread maji na mafuta
 
Ndo mana hata shuleni kunakuwa na group discussion, kuna maana yake.. inawezekana mfano wewe tatizo lako nila kiuchumi na wewe sio mtaalamu wa hayo mambo so unavoomba ushauri kwa wanaojua ni kwamba wanakusaidia kuona possibilities ambazo wewe ingekupa shida kuzi identify...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom