AUTOCATALYST
Member
- May 27, 2015
- 69
- 16
Habarini wakuu, I trust you are all okay!
Ni siku chache tu zimepita nilikuja kwenu kuomba ushauri kuhusu mchumba wangu aliyekuwa kaniblock na kusema hataki mapenzi tena kutokana na visa kadhaa vya kuambiwa.
Ni leo hii mchumba wangu karejea mzima mzima japo alianza kwa kuni-unblock sehemu moja baada ya nyingin alikokuwa kaniblock (calls, fb, wasap).
Ninashukukuruni nyote kwa ushauri wenu kwani kiasi fulani ulinifanya kuwa emotionally stable.
Yaani ninafuraha vibaya nimempiga ma-kiss mpaka basi kwahiyo sasa ni kitabu tu.