Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari JF, Hapa nilipo am so stressed, nimejaribu njia kibao but still. Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia. Wale mnaotumia hii kitu inasaidia? Hata kwa muda tu. I know time heals...
9 Reactions
219 Replies
14K Views
habari wakuu mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba wenye mapenzi ya kweli awe kamaliza kidato cha nne au darasa la saba mimi ni mjasiriamali kipato cha ni cha kawaida tu mwanamke ninaye mtaka...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Natumai mu wazima wanafamilia wa JF, Nipo apa kuandika Uzi huu kwaajili ya kumtafuta rafiki wa kike, atakaekuwa mpenz wangu, mchumba na baaadae tuje kufunga ndoa na kuishi pamoja kama mume na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu, Yapata wiki sasa kila nikirudi home kutoka job kuna huyu beki tatu wa mwenye nyumba anataka nimgonge, nikimwona siyo mkali kivilee naogopa asije akaniganda...
1 Reactions
93 Replies
13K Views
Siku moja bwana kuna mkaka mmoja hivi akanitoa out mwaka jana tarehe kama hizihizi aliniambia yupo mjini so twende mahali tukapate dinner na mimi navopenda misosi ningekataa? Basi siku hiyo...
15 Reactions
162 Replies
11K Views
Habari wana jamvi. Hili tatizo la kuanzisha mahusiano mapya ghafla baada ya kuachana na mpenzi wako ,limekuwa likiwaumiza sana vijana/KE & ME. Na hujikuta huanzisha mahusiano ya ghafla ili...
20 Reactions
102 Replies
11K Views
Habari MMU, Nimekutana na hii story kwenye group letu uko mdada anasema anapendana vizuri na mpenzi wake na kila mtu anaishi kwake wapo kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana. Anasema mwanaume ana...
37 Reactions
368 Replies
21K Views
Habarini wadau Mchumba angu ambae nimezaa nae mtoto mmoja wa miaka 4 sasa alipata ujauzito mwingine lakini mwisho wa siku ikagundulika sio ujauzito wa kawaida Bali ni Moral pregnancy wataalam...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Mimba ikishatokea mtoto huzaliwa, wakati mwingine mabinti namaanisha dada zetu hupata mimba bila wao kuwa tayari kupata ujauzito. Matokeo yake majuto, kukosa furaha n upendo mdogo kwa watoto...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Yapo matukio mengi yalojiri miongoni mwetu ,na kuleta majeraha maishani. Wengi imetugarimu katika kuuguza majeraha,maana yalihitaji umakini na uwangalizi wa hali ya juu, maana kila tulipokuwa...
0 Reactions
7 Replies
872 Views
habar zenu wakuu aim ya thread hii ni kujua mawazo yenu pia katka hili kwamba wanaume wanakua wahuni coz ya kusalitiwa na wapenz wao wa mwanzon binafs mie kuna bint hapa kitaa tangu tunakua...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Ukikuta watu wawili wana ugomvi sana, angalia vizuri yule mwenye hasira zaidi ya mwenzake mara nyingi ndio hayupo sahihi. Hii ni kwa sababu mtu mwenye hasira sana hana maamuzi sahib I na hujiona...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za Leo ndg zangu wa damu; Awali ya yote nipende kumshukru Mungu kwa pumzi zake ambazo hazilipiwi na anaendelea kunilinda hadi siku hii. Swala langu ndg zangu ni dogo au kubwa kulingana na...
6 Reactions
273 Replies
25K Views
Mimba ikishatokea mtoto huzaliwa, wakati mwingine mabinti namaanisha dada zetu hupata mimba bila wao kuwa tayari kupata ujauzito. Matokeo yake majuto, kukosa furaha ni upendo mdogo kwa watoto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana MMU, Mimi nina swali kama kuna wenye majibu sahihi wanijibu. > Ni kwanini wanaume peke yao ndio huwa wanatongoza kama akitokea kuvutiwa na msichana na sisi wanawake hatuwezi...
5 Reactions
140 Replies
15K Views
Umbile la mwanamke ni kivutio kimoja kikubwa kwetu sisi wanaume, wapo wanawake wembamba, na wanawake wanene hivyo wapo wanaume wanaopenda wanawake wembamba tu, hata akitokea mwanamke mnene awe...
11 Reactions
176 Replies
46K Views
Wakuu kwema? Kuna kitu kinanitatiza na kunikera,kuna umafia nimeufanya so password ya account ya facebook ya mpenz wangu nimeinyaka so mara nying huwa naimonitor ili kujua ana mawasliano ya namna...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nipo kwenye mahusiano na wanawake wa 3, sifa zao ni hizi; MWANAMKE WA (1)- yeye ana umri wa miaka 18 ananipenda sana pia mimi nampenda sana kasoro zake yeye nikimwambia kuhusu yeye...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Wadau, huyu girl ananiambia hataki kondomu kabisa eti zina madhara anataka kutumia njia ya kalenda na mimi siijui.
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Back
Top Bottom