Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tena huu ni ujinga usiokuwa na kikomo Pale mkeo anapokwambia kuwa wewe ni mtamu na unajuwa kumpiga miti na hatokuja kutoka nje hata siku moja Wakati unajuwa kuwa ana michepuko zaidi ya watano na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukiona msichana anakuomba hela kila akutafutapo jua hakupendi. Nani asiejua wanawake wakipenda mtu huweza ata kumpa pesa. Au nani asiejua wanawake huwa na mtu ili wamlambe pesa. Mwanamke akimpenda...
14 Reactions
125 Replies
11K Views
Rejea tu huo Mbichwa wa Habari hapo juu halafu karibuni katika utiririkaji wa Nondo za Kimalavidavi zaidi. Nawasilisha.
0 Reactions
65 Replies
20K Views
Sexes split over one night stands BBC News Online Men and women view one night stands differently Many women are left unhappy in the aftermath of casual sexual encounters, a survey has...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Toka mpenzi wangu asimamishwe kazi ni mtu mwenye mawazo ila huwa namfariji, tatizo linakuja ninampomsaidia huwa nampa elfu 5 kama mahitaji kwa siku sasa jana nilimpa 1500 aende kula chakula cha...
7 Reactions
57 Replies
5K Views
Nipo job now and am anxious, Sio kawaida ya best wangu kutonitumia hata salam, Namuona online whatsap namtumia meseji na ninaona tiki ni za blue ila ndo sijui kauchuna. Nimefikiria sana nini...
1 Reactions
160 Replies
10K Views
Hello wanajamvi, Ki ukweli nimetokea kumpenda binti mmoja sana kutoka moyoni mwangu yaani nashindwa hata kuelezea siku nilipanga nikutane nae sikufanikiwa ila namba zake nilizipata nimejitosa...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Aje aje wakuu Kichwa cha habari chahusika hapo juu Nina demu wangu lakini nina mashaka na tabia zake na mazingira ya kwao. Huyu demu ana kama wiki ananiambia anaumwa tena Hoi kabisa. Jana...
2 Reactions
96 Replies
12K Views
habari! ni mgeni huku jf! nipokeeni.. nna mchumba angu niko nae takriban 4yrs sasa! tunatarajia kufunga ndoa soon...hv karibuni ameanzisha kamchemzo flani hivi tunapokuwa faragha! anahitaji nimtie...
1 Reactions
88 Replies
7K Views
Jana nilienda wadutya mida ya saa 5 usiku , Muda wa saa 7:30 usiku kuna mmama alionekana amepandisha mashetani huku akigala gala, Wakati huo akiwa anaacha mapaja yote wazi na kubaki na chupi tuu...
3 Reactions
125 Replies
19K Views
habari wadau nikiangalia jinsi drama za familia nyingi naona kabisa waarabu wana akili sana kuoawana wenyewe kwa wenyewe ili utajiri usipotee maana wanawake wabinafsi sana.. pesa zaweza kuwa zako...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake wanaotamami ndoa sana na wengine kuja kutafuta waume mitandaoni wakidai ME vigezo lukuki. Bila kujua ndoa sio jambo la kukurupuka tu, ni uamuzi mgumu na...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wanajamvi! Ebwana leo nimekutana na changamoto ambayo sikuwahi kutegemea kuwa huyu mama mtu mzima umri wa kustaafu anaweza kuwa hivi; Ebwana ktk shuhuli zangu hapa town huwa...
5 Reactions
25 Replies
6K Views
Mimi na Ex wangu tuliachana kwa amani baada ya yeye kucheat akazama huko huko na hatimaye akaolewa(ingawa hana furaha na ndoa yake anatamani tuendelee, nikajikaza kiume nikamkanya akapunguza...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakuu, Napenda kuwashukuru wana JF, Wote kwa michango yenu, hakika imekuwa msaada kwangu. Hivi karibuni nilileta bandiko hapa nikiuliza kama mimi nilishawahi kufika kileleni; Hivi inawezekana...
9 Reactions
86 Replies
9K Views
HABARI WANA JF NAJITOKEZA KWA MARA YA KWANZA KUTAFUTA MKE WA KUO. JINA:Erickson UMRI: Miaka 31, KABILA: mkonongo, DINI: Mkristu, NCHI NAYOISHI:Tanzania, UREFU : FT5.6, RANGI : Mweusi, ELIMU: Chuo...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
habari wapendwa wangu Leo nakuja na mada ambayo kuielewa inabidi uwe makini kujuua tunakwenda wapi na tumetoka wapi sisi kama wazalendo. Leo wadau wangu nakuja na somo lisemalo HATA UKIKAMATIA...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama hakuridhishi Kitandani hiyo ni Siri yenu nyinyi. Anayekutuma uende kumhadithia Shosti wako ni nani?? Atakusaidia nini...Au na akili zako za funza unaenda kumwambia jirani, ili akushauri...
10 Reactions
75 Replies
7K Views
Greetings Kuna hili swala linakuwa discussed sana na vijana sehemu mbali mbali. Je kama wewe ni mwanaume, does body count matter unapomchagua mke wako? Kwa wanaume walio kuwa kwenye ndoa...
0 Reactions
61 Replies
4K Views
WANAUME: Ukipata aina ya Mwanamke ambaye akiona mambo fulani hayaendi sawa ANAKUITA...ANAKUKALISHA CHINI... ANASEMA YA KUMOYO...Shukuru sana Akiona umekuwa extravagant anakwambia upunguze matumizi...
8 Reactions
20 Replies
46K Views
Back
Top Bottom