Enyi dada zetu kwanini mpate mimba zisizotarajiwa wakati zinaepukika??

Bernard bakari

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
407
781
Mimba ikishatokea mtoto huzaliwa, wakati mwingine mabinti namaanisha dada zetu hupata mimba bila wao kuwa tayari kupata ujauzito. Matokeo yake majuto, kukosa furaha n upendo mdogo kwa watoto wanaozaliwa. Tumeshuhudia mara kadhaa watoto wachanga wakitupwa, madada wakipanga foleni kwa madaktari kutoa mimba.

Ili mimba itungwe mwanamke hutoa yai kwa kitaaramu tunaita OVULATION CIRCLE na yai huwa linapevuka siku ya 14 toka siku ya kwanza mwanamke alipoanza kubridi kitaalamu tunaita MESTRUTION CIRCLE. Kwa mfano kama mwanamke kaanza kubridi tarehe 8/4/2017 + 14 = 22/4/2017 ndo yai linapevuka.

Shahawa za mwanaume zinaweza kukaa kwa mwanamke baada ya kukojoa kwa siku tatu bila kupoteza nguvu za kutunga mimba namainisha kama yai litapevuka tarehe 22/4/2017 kama mwanamke atapokea shahawa kuanzia tarehe 19-22 atapata mimba, na yai likipevuka linakuwa na nguvu ya kuungana na mbegu kutunga mimba kwa siku 3. Namainisha toka tarehe 22-25 mwanamke akipata mbegu ya mwanaume anapata mimba

Ufafanuzi kwa kifupi kwa mwanamke ukianza tu kubridi chukua ile siku unayoanza hesabu siku 14 mbele kisha toka ile siku inayoangukia toka siku tatu nyuma na ongeza tatu mbele hizo siku zote za hatari. Ili kuwa salama zaid unaweza ongeza zako yaan ukatoa nne na kuongeza nne.

Ndani ya siku hizi za hatari usifanye mapenzi kama hutaki mimba, kama mwanamke anakuwa na nyege atumie kondomu au kama kondomu haipandi inaonekana kama inapunguza radha basi fanya mambo yako mwanaume akitaka kukojoa akojolee nje ndo usalama wa mwanamke asiyetaka mimba. HESABU TAREHE EPUKA MIMBA ZISIZOTARAJIWA.
 
Sijaona jipya hapa!
Unafanya marudio yasiyokuwa na msingi wowote.
 
Siku ukipata muda uongelee pia wale wenye mzunguko mfupi na mrefu jinsi wanavyoweza kujiepusha na mimba kwa kutumia njia hii ya kalenda!

Maana naona hapa umeongelea tu wale wenye mzunguko wa kawaida,
 
mhh kijielimu kwa madada hicho jaman
Eti kwa madada tu... Ko wewe kuhusu msichana wako kupata mimba hayakuhusu!!!? Hii elimu ni pande zote mbili, unaweza pata mdada ambae hana hii elimu na ukamfundisha.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimba ikishatokea mtoto huzaliwa, wakati mwingine mabinti namaanisha dada zetu hupata mimba bila wao kuwa tayari kupata ujauzito. Matokeo yake majuto, kukosa furaha n upendo mdogo kwa watoto wanaozaliwa. Tumeshuhudia mara kadhaa watoto wachanga wakitupwa, madada wakipanga foleni kwa madaktari kutoa mimba.

Ili mimba itungwe mwanamke hutoa yai kwa kitaaramu tunaita OVULATION CIRCLE na yai huwa linapevuka siku ya 14 toka siku ya kwanza mwanamke alipoanza kubridi kitaalamu tunaita MESTRUTION CIRCLE. Kwa mfano kama mwanamke kaanza kubridi tarehe 8/4/2017 + 14 = 22/4/2017 ndo yai linapevuka.

Shahawa za mwanaume zinaweza kukaa kwa mwanamke baada ya kukojoa kwa siku tatu bila kupoteza nguvu za kutunga mimba namainisha kama yai litapevuka tarehe 22/4/2017 kama mwanamke atapokea shahawa kuanzia tarehe 19-22 atapata mimba, na yai likipevuka linakuwa na nguvu ya kuungana na mbegu kutunga mimba kwa siku 3. Namainisha toka tarehe 22-25 mwanamke akipata mbegu ya mwanaume anapata mimba

Ufafanuzi kwa kifupi kwa mwanamke ukianza tu kubridi chukua ile siku unayoanza hesabu siku 14 mbele kisha toka ile siku inayoangukia toka siku tatu nyuma na ongeza tatu mbele hizo siku zote za hatari. Ili kuwa salama zaid unaweza ongeza zako yaan ukatoa nne na kuongeza nne.

Ndani ya siku hizi za hatari usifanye mapenzi kama hutaki mimba, kama mwanamke anakuwa na nyege atumie kondomu au kama kondomu haipandi inaonekana kama inapunguza radha basi fanya mambo yako mwanaume akitaka kukojoa akojolee nje ndo usalama wa mwanamke asiyetaka mimba. HESABU TAREHE EPUKA MIMBA ZISIZOTARAJIWA.
Mkuu unadhani mimba zinapatikana kwa sababu wadada hawajui siku zao za hatar? Wanajua vzr tena wengine toka primary ila kinachofanyika wengi wao wanategemesha mimba kwa lengo la kulazimisha kuolewa. Ukimuuliza KE uko kwenye danger days atakwambia hapana kumbe yupo then ikishatokea utasikia nilikosea kuhesabu sasa tutafanyaje sijaona siku zangu mwez uliopita hapo natafuta kiki ya kuhamia kwako. Zinazotokea kwa bahati ni chache
 
Nyege zikipanda akili inapata ganzi, ni kukata uno tu, baada ya hapo ndo akili zinarudi wakati ushaharibu....
 
Mnajichosha tu!
Ukiwa na hela mwanamke wa Dar anajibebesha mimba makusudi!Kama hauna hela hata usugue vipi hawezi beba mimba!
Hawa wenzetu ni mitego mitego tu
 
Back
Top Bottom