Samahani hutibu jereha ,Ila Huwa haifuti makovu

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
3,695
5,525
Yapo matukio mengi yalojiri miongoni mwetu ,na kuleta majeraha maishani.

Wengi imetugarimu katika kuuguza majeraha,maana yalihitaji umakini na uwangalizi wa hali ya juu, maana kila tulipokuwa tukijigeuza kulia na kushoto ili kujiweka sawa matokeo yake ,tulikuwa tunajitonesha .Na kujikuta kila siku kidonda hakiponi na wakati mwingine kuchukuwa muda mrefu kupona kwake.

Ila mwisho wa siku mbali na kupona yale majeraha, ila bado yalituacha na makovu ambayo kamwe hayawezi futika kwa kitu chochote.

Yamebaki kama muhuri na Alama kwa yale machungu na maovu tuliopitia..
.Kamwe Hayatakuja kufutika
 
Back
Top Bottom