Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Umbile la mwanamke ni kivutio kimoja kikubwa kwetu sisi wanaume, wapo wanawake wembamba, na wanawake wanene hivyo wapo wanaume wanaopenda wanawake wembamba tu, hata akitokea mwanamke mnene awe mzuri wa sura kiasi gani kwake si kishawishi cha kumfanye awe naye katika mahusiano.
Hali kadhalika kwa wanaume wengine tunapenda wanawake wanene hata mwanamke awe mzuri kiasi gani lakini kama mwembamba hanishawishi kuwa na uhusiano naye.
Japo wapo wavulana ambao kuwa na uhusiano na mwanamke hakuangaliwi na umbo lake, hawa huwa na kipao mbele kingine wanachokijua wao.
Mwanamke mnene ana raha zake bwana, ukimkumbatia wakati wowote wa kulala, au kwenye mambo yale ya kutafuta mtoto mikono yako huishia kwenye mwili wake tofauti na mwanamke mwembamba ukimkumbatia mikono inazunguka yote mwisho unajikumbatia na mwenyewe. Hivyo joto unalopata unajua linatoka kwa mwenza wako sasa ukimkumbatia mwanamke mwembamba mikono inarudi kwako unakuwa hujui hili joto ni langu au la mwenza wako.
Mwanamke mnene ni starehe nzuri sana asikuambie mtu, mwambie abaki mtupu ageuke geuke uangalie nyama zilizojipanga vizuri, mwanamke mwembamba unaona mifupa aaah inaboa sana.
Mwanamke mnene japo wataalamu wa mambo ya kibailogia wanapinga lakini mi nawaona huwa na kina kifupi kinachofanya ufike mpaka mwisho wa ile kitu lakini wembamba nasikia inakuwa ndefu kwenda ndani hivyo ni vigumu kugusa mwisho.
Wanaopenda wembamba husema wanabebeka, unaweza zunguka nao chumba chote, sasa najiuliza kwa mimi nisiye na nguvu nizunguke naye huku nimembeba tena nafanya si kujitafutia ugonjwa kwangu hii si sababu ya kunishawishi.
Mwanamke mnene akitembea buradani bwana awe mbele yako huku nyuma uangalie mambo yanavyotingishika hamsini hamsini mia lakini mwanamke mwembamba mmmmh hata atingishe hakitikishiki wala kutingishika kitu.
Mwanamke mnene ndo chaguo langu sisemi wembamba wabaya laaah hasha wapo wanaume uwaambii chochote juu ya mwanamke mwembamba wapo radhi kukosa chochote si mwanamke mwembamba.
Ukiona mwanamke umeumbwa mwembamba usijute wapo wanaume wenu wala usitumie madawa uwe mnene utakufa bure wapo wa taipu yenu na ukiona mwanamke mnene usijute bwana shangilia tupo tunaopenda wanene.