Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 379
Habarini wadau
Mchumba angu ambae nimezaa nae mtoto mmoja wa miaka 4 sasa alipata ujauzito mwingine lakini mwisho wa siku ikagundulika sio ujauzito wa kawaida Bali ni Moral pregnancy wataalam watakua washafahamu
Sasa tangu aliposafishwa mchumba wangu huyu imekua ni kosa la jinai Mimi kumwomba unyumba tunaishi mbalimbali mi nipo mkoa mmoja wapo kanda ya ziwa napiga dili zangu tu na yeye yupo mkoa mwingine ndani ya kanda hii ya ziwa ni mwajiriwa wa kupokea salary ndefu ila nimekua sifurahii mapenzi kabisa wala mawasiliano na yeye nisipoanza kumtafuta basi inaweza kupita siku 3 hajanitafuta na sasa hivi madeko yamezidi wakati Tatizo lake limekwisha lakini najihisi kama sina mchumba wala mamaa mtoto nimekua mpweke Sana nimejaribu kuwa nae karibu na kumuelewesha ninavyojisikia lakini naonekana fala nna gubu kwake ,nimechoka nimeamua tu Pombe awe mfariji wangu kwa maana wanawake walioumbwa kutoka kwenye ubavu wangu mimi wanaonekana heshima zero.