floow
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 411
- 855
Nipo kwenye mahusiano na wanawake wa 3, sifa zao ni hizi;
MWANAMKE WA (1)- yeye ana umri wa miaka 18 ananipenda sana pia mimi nampenda sana kasoro zake yeye nikimwambia kuhusu yeye kujishughulisha hataki kabisa na ana sema hawezi pili akija kwangu yeye ni mapenzi tuu hajali kunifuria kufanya usafi kwangu ni mara moja moja sana lakini ni MREMBO sana nafikiri ni sababu ya umri wake mdogo wenda atabadilika mbeleni.
MWANAMKE WA (2) yeye ana umri wa miaka 20 ananipenda sana anapenda nimtoe out mala nyingi. Ana jituma kwa kila kitu akija kwangu anafanya USAF ananifilia mpaka nafurahi anahali ya kufanya kazi yeye anadai nitakapomuoa yuko tayari kujishughulisha kwa kazi yoyote ile.
MWANAMKE WA (3) yeye ana miaka 23 ni beki 3 sio MREMBO wala sio mzuri yeye ni wa kawaida ana akaunti benk mpaka sasa inasoma ml 5 pia akija geto ananifanyia usafi kila kitu wakati mwingine akija anakuja na vyakula mfno. Mchele na ma vitu kedekede.
Nisaidieni yupi anafaa hapo.