Si lazima ukasome kutambua hili

isley

Member
Sep 24, 2016
48
83
Ukikuta watu wawili wana ugomvi sana, angalia vizuri yule mwenye hasira zaidi ya mwenzake mara nyingi ndio hayupo sahihi. Hii ni kwa sababu mtu mwenye hasira sana hana maamuzi sahib I na hujiona yupo sahihi asilimia 100.
 
Una maanisha magufail au ********.
 
Hii ina exception,
Mfano ,
kwenye fumanizi (ugomvi kati ya mfumaniaji na mfumaniwa).
 
Ukikuta watu wawili wana ugomvi sana, angalia vizuri yule mwenye hasira zaidi ya mwenzake mara nyingi ndio hayupo sahihi. Hii ni kwa sababu mtu mwenye hasira sana hana maamuzi sahib I na hujiona yupo sahihi asilimia 100.

Still loading..........
 
Ukikuta watu wawili wana ugomvi sana, angalia vizuri yule mwenye hasira zaidi ya mwenzake mara nyingi ndio hayupo sahihi. Hii ni kwa sababu mtu mwenye hasira sana hana maamuzi sahib I na hujiona yupo sahihi asilimia 100.
ungeweka na mfano sasa :D:D:D:D:D:p:p
 
Back
Top Bottom