Dafraclav
Member
- Feb 15, 2017
- 11
- 7
Natumai mu wazima wanafamilia wa JF,
Nipo apa kuandika Uzi huu kwaajili ya kumtafuta rafiki wa kike, atakaekuwa mpenz wangu, mchumba na baaadae tuje kufunga ndoa na kuishi pamoja kama
mume na mke.
Sifa Zangu;
-Mkristo na mcha Mungu,
-Elimu ya chuo kikuu
- Nimeajiriwa
-umri wangu miaka 26
-naishi Mwanza
Sifa za rafiki wa kike ninaye mtafuta
-awe Mkristo na anae mcha Mungu
-awe mkwel na mwenye mapenzi ya dhati
-awe na elimu ya kuanzia Certificate na kuendelea
-awe na umri kati ya miaka 21 hadi 25
-akiwa anaishi Mwanza, itapendeza zaidi coz itakua ni rahisi kuonana na kufahamiana vizuri
Kwa binti/mwanamke yoyote aliye tayari na anaetafuta mume wa kujenga nae familia, ani PM ili tuzungumze.
Nawasilisha