Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

huwa najiuliza dada zangu mnaokubali kupigwa picha za uchi na wapenzi wenu hua akili zenu zinakuwa wapi mpaka mnafanya huu ujinga,unakuta mpenzi wako anakuambia nitumie picha ya utupu unamtumia...
20 Reactions
88 Replies
23K Views
Habari zenu? Jamani mimi simuelewi mpenzi wangu kabisa. Tuligombana ugomvi mkubwa tu sababu ya jamaa mwingine kuingilia mapenzi yetu kwa wivu. Ugomvi huo ulipelekea mpenzi wangu kunitamkia kuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello jf. Jana nilikua zangu nacheck game ya man u vs middlesbrough,huyu shemeji/wifi yenu akawa ananipigia,asa kutokana na kelele zilizokua mahali pale sikuweza kumsikia vizuri akakata simu...
0 Reactions
81 Replies
9K Views
Naombeni ushauri, Kuhusu hii hali mume wangu hataki kabisa ushike simu yake na simu zake zina password na ukimuomba kukutajia anakwambia kabisa hawezi maana kwenye simu zake kuna mambo ya ofisi...
1 Reactions
159 Replies
16K Views
Habari za saa hii wakuu.. Leo nimeona nisiwe mchoyo kushare hiki kidogo nilichokiokota okota huko mitandaoni katika swala zima la mahausiano. Watu wengi wamekuwa wakitamani kujua dalili za...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam wana jukwaa, Mimi mwanaume mwenzenu naomba Leo niwasisitizie jambo. MWANAMKE anayekuhudumia na kukupa penzi haidhuru ukiita mahaba namaanisha akuvuliae nguo hata akiwa tajiri ni sharti...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote. Mwanaume...
22 Reactions
133 Replies
22K Views
Nimejiuliza hili swali sijapata jibu, Hivi kiongozi wa kanisa mwanamke mchungaji kwa kawaida kama hajaolewa na ikatokea umependa hivi unaanzaje anzaje kumuanza hadi akukubalie na je kabla...
4 Reactions
152 Replies
20K Views
Wakuuuu! Natumani mpo vyema na naona kiki za bashite zina katika mdogo mdogo! bashite atuhusu sana kwenye mambo yetu ya mapenzi na mahusiano, so ipo hivii Wanasema mapenzi ni upofu na kama ipo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna msichana nimekuwa naye kwenye mapenzi takribani miezi 5, Nikaamua kuachana nae baada ya kugundua hakuwa mkweli juu ya maisha yake kiujumla. Sasa Baada kumwambia tuachane yeye alikubali ila...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Habari wana JF, Kwa mnaokumbuka thread yangu ya kutafuta mke: Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze Nimerudi kuwakushukuru, nimepata mke mwema wa kufanana nae...
17 Reactions
166 Replies
14K Views
Habari zenu wana jukwaa, Nimeanzisha Uzi huu si kwa utani bali ni kwa uhalisia na hisia za moyo wangu baada ya kuwa nimepitia mengi katika mahusiano. Niliuambia moyo usukume damu ila...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mabibi na mabwana! Sina shaka mko vema mida hii.... Tunakutana tena katika pillow talk Kama kichwa cha habari hapo juu kinavosomeka najua sio geni yumkini ulishasikia tena na tena ila sio mbaya...
3 Reactions
60 Replies
12K Views
. Chanzo kikubwa cha baadhi ya matatizo tuliyonayo leo kinaweza kuwa ni maneno tunayopenda kuongea ongea? Unaweza kuwa unapambana kweli kwenye ndoa yako ila mambo hayaendi. Au unapambana kweli...
11 Reactions
37 Replies
5K Views
Samahanini wana JF, Naomba ushauri, Nina mume nipo naye mwaka wa nne na tumepata mtoto mmoja wa kiume, lakini cha kushangaza nilipojifungua nimeenda kwetu kurudi nakuta anamwanamke mwingine na...
8 Reactions
161 Replies
12K Views
Habarini wanajamvi? Nilikuwa na mpenzi ambaye tulikuwa na mpango wa kufunga ndoa hapo baadae. Akaanza kunilalamikia kuwa anataka penzi langu lkn mimi sikuridhia kwasababu hii ni Sera yangu na...
38 Reactions
491 Replies
39K Views
Kuna mtu kaja kunichanganya na maupuuuzi yake, nahitaji misaada yenu mfikirie nje ya box na mimi plz Mpuuzi: unajua Penny huko tunakoenda, kama dada zetu hawatoolewa sasa hivi itakuwa basi...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Siku ya leo nilienda kula katika mgahawa fulani hivi nikamkuta mhudumu moja akionekana macho mekundu kwa kilio, nikamuuliza kulikoni dada mbona upo katika hali hiyo? Akaanza kuniambia yeye aliwahi...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
George Iron Mosenya SEHEMU YA KWANZA Naitwa Lusubilo Mwaipaja, marafiki zangu wengi walizoea kuniita kwa ufupi. Waliniita Lusu! Niliyafurahia maisha sana nikiwa mjini Mbeya na familia yangu kwa...
2 Reactions
21 Replies
30K Views
Wewe mwanaume una laki mbili Na mkeo ana laki tano.... Swali ni hili...hapo kipato cha familia hapo ni kiasi gani? Nimeikuta watsap groups imeleta ubishani.. hebu wana MMU tutajie majibu kwa...
12 Reactions
446 Replies
38K Views
Back
Top Bottom