tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,878
- 15,456
Wakuu kwema?
Kuna kitu kinanitatiza na kunikera,kuna umafia nimeufanya so password ya account ya facebook ya mpenz wangu nimeinyaka so mara nying huwa naimonitor ili kujua ana mawasliano ya namna gani na marafiki zake,asa kuna lijitu flan{mwanaume} huyu binti nadhani waliwah kusoma nalo chuo,kila likimtumia huyu binti texts za kumsalimia huwa linamwita best friend,nikiangalia historia ya mawasliano yao liliwahi kumtongoza huko nyuma akalikataa,naona ndo limeamua kujifariji na kumwita best friend,leo nimelichimba mkwara yani nimejifanya me ndo binti nikalichana kuwa sitaki mazoea anymore,basi limelialia hapo linasema hata kama binti halitaki isiwe mwisho wa urafiki wao ila nkajidai kuliambia ntaliblock ndo likawa lipole.
Sasa wakuu,ebu tushauriane,hivi ni sahihi kweli kwa libaba lenye umri karibia miaka 40 kukaita kabinti ka miaka 24 best friend na ukizingatia jitu liliishakataliwa na linajua kabisa kuwa binti ana mtu wake kwa sasa?