Mwanaume kua Player ni sababu ya kuumizwa na msichana

dedon

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
1,507
2,063
habar zenu wakuu aim ya thread hii ni kujua mawazo yenu pia katka hili kwamba wanaume wanakua wahuni coz ya kusalitiwa na wapenz wao wa mwanzon

binafs mie kuna bint hapa kitaa tangu tunakua primary nilikua nikimuelewa mno sema mdomo ulikua mzito sana kipind hiko so baada ya kufika form four nikajikaza nikafunguka dogo nae akakunjua nafsi nikawa namega tunda

nilivofikaga advance nikawa naamin huyu ndo mke wangu yan nilikua hoi

cha ajabu likizo moja nilivotoka boardin kurud kitaa kama kawaida nikawa namtafuta dogo lkb nikaona kama kachange ananiogopa ogopa hv nikajiuliza kunani?? washkaji wa kitaa wakanitonya akat niko xul dogo alikamatwa na polisi wa doria usiku walikua wana sex na jamaa ambaye nilikua namjua wa kitaa na tulipiga wote primary

dah mzee mzma hoi nikamfata dogo kumconfront akakubali ni kweli aiseee dogo alinibembelez kinoma tusiachane hatorudia tena dah enzi hzo mtt wa kke akitoa choz tu mzee nikalegeza uzi tukaendeleza kula tunda

kabla sijarudi shule siku za mwisho mwisho nikawakuta manz yangu na yule jamaa wanatoka guest zetu hz za uswahilin

maisha yangu ndo ilikua mara ya kwanza na ya mwisho kulia kwa ajili ya mapenz...mzee mzma nilikaa uwanjani kila nikitafakar roho inaniuma sina uwezo hata wa kumvamia yule mwana coz manz sijamuoa

kuanzia hapo sipendag kumueka msichana moyoni hata tukiwa na mahusiano nahakikisha sipo mzma hata ikitokea tumeachana nakua happy tu kama kawaida
 
Yes inatokea.. kuumizwa kuko.. lakini kuwa player ni choice...
Wakat mimi naumizwa ... kidogo niangukie kwenye huo mtego wa kuwa player...
Ila nilijipa muda wa kuto kuingia kwenye mahusiano na mwanamke mwingine .. baada ya muda maumiv yakaisha..
na sasa niko powa.. na makin zaid..
Jipe muda ... usipaparikie mapenz hata kama ni mwanamke ndio amekutongoza.. jipe muda
 
kuanzia hapo sipendag kumueka msichana moyoni hata tukiwa na mahusiano nahakikisha sipo mzma hata ikitokea tumeachana nakua happy tu kama kawaida

Hivi kumuweka mtu moyoni ni maamuzi

Teach me how asee
 
Ulipenda ukiwa na umri mdogo..ila utafika mahali utachoka kuplay out,,utakuja kutambua sababu za kugongewa na utarekebisha mapungufu yako then utasamehe wakati uliopita..
 
Yap hiyo huwa sababu lakini ukiwaumiza wengine siyo fair maana wao siyo waliokuumiza
 
Daaah! Wengine tuna mioyo ya chuma!!! Nianze kabisaa kulia!!! Amekua baba yangu??? Angalau angekua mume!!!
 
maisha yangu ndo ilikua mara ya kwanza na ya mwisho kulia kwa ajili ya mapenz...mzee mzma nilikaa uwanjani kila nikitafakar roho inaniuma sina uwezo hata wa kumvamia yule mwana coz manz sijamuoa

What doesn't kill you makes you stronger.
Pole sana mkuu!!! Yote ni experience tu!!
 
Mm hadi leo huwa najiuliza watu ambao wanalialia na mapenz inakuwaje? Maana mm haijawahi kunitokea. Nikipiga sound nikikubaliwa naona kawaida naendelea na akikataa napata mwingine nikiona dalili sizielewielewi natafuta mwingine faster mwishowe akileta visababu na mm namwambia hata mm nimekuchoka kumbe nilishapata mwingine. Kuna mengi ya kufanya vijana msiwekeze sana kwenye mapenz mwishowe mnabaki kulialia wakati mwenzako anakula bata tu
 
habar zenu wakuu aim ya thread hii ni kujua mawazo yenu pia katka hili kwamba wanaume wanakua wahuni coz ya kusalitiwa na wapenz wao wa mwanzon

binafs mie kuna bint hapa kitaa tangu tunakua primary nilikua nikimuelewa mno sema mdomo ulikua mzito sana kipind hiko so baada ya kufika form four nikajikaza nikafunguka dogo nae akakunjua nafsi nikawa namega tunda

nilivofikaga advance nikawa naamin huyu ndo mke wangu yan nilikua hoi

cha ajabu likizo moja nilivotoka boardin kurud kitaa kama kawaida nikawa namtafuta dogo lkb nikaona kama kachange ananiogopa ogopa hv nikajiuliza kunani?? washkaji wa kitaa wakanitonya akat niko xul dogo alikamatwa na polisi wa doria usiku walikua wana sex na jamaa ambaye nilikua namjua wa kitaa na tulipiga wote primary

dah mzee mzma hoi nikamfata dogo kumconfront akakubali ni kweli aiseee dogo alinibembelez kinoma tusiachane hatorudia tena dah enzi hzo mtt wa kke akitoa choz tu mzee nikalegeza uzi tukaendeleza kula tunda

kabla sijarudi shule siku za mwisho mwisho nikawakuta manz yangu na yule jamaa wanatoka guest zetu hz za uswahilin

maisha yangu ndo ilikua mara ya kwanza na ya mwisho kulia kwa ajili ya mapenz...mzee mzma nilikaa uwanjani kila nikitafakar roho inaniuma sina uwezo hata wa kumvamia yule mwana coz manz sijamuoa

kuanzia hapo sipendag kumueka msichana moyoni hata tukiwa na mahusiano nahakikisha sipo mzma hata ikitokea tumeachana nakua happy tu kama kawaida
Sometimes uplayer sio lazima uwe umeumizwa, wengine ni tabia zao. Pia tabia za baadhi ya KE hupelekea MEkuwa player maana wengine unakuta unamuhitaji muda fulani yeye anakuletea visingizio kibao so inabidi uwekeze sehemu kadhaa tofauti ili akizingua mmoja unaita mwingine kwa hiyo unakuwa stressless hata mmoja akikumwaga unaona kawaida kwa kuwa wapo wengine. Haya mambo ya watu kujinyonga sometimes yanatokana na kuwa na sehemu moja tu kwa hiyo pakibuma tu anakosa pa kutokea
 
mapenz ni mazoea so mazoea yanaeza kukufanya usimsahau mtu
so hua kwenye mahusiano nayakwepa sana mazoea kuogopa ku fall kwa msichana
Aisee inatesa mno jaman, imagine mtu mliejaliana kwa kila hali anapoanza kukuchukulia poa. No messages, no calls mpaka we ndio umuanze. Ask why is he/she treating you badly utaambiwa acha kulalamika sana. It hurts so bad!
 
Back
Top Bottom