Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Wadau, huyu girl ananiambia hataki kondomu kabisa eti zina madhara anataka kutumia njia ya kalenda na mimi siijui.
Kweli we ni mwoga!Wadau huyu girl ananiambia hataki kondomu kabisa eti zina madhara anataka kutumia njia ya kalenda na mm siijui
Wadau huyu girl ananiambia hataki kondomu kabisa eti zina madhara anataka kutumia njia ya kalenda na mm siijui
Hawezi kuacha kitumbua wakati kashalipia LodgeMwambie kama ndio hivyo no sex
Mi najua wanaume wengi huwa hawapendi kutumia condom,wanawake ndio wanaforce matumizi ya condomHawezi kuacha kitumbua wakati kashalipia Lodge
Ndio wavulana wa siju hizi mama, taabu tupu.alivyokataa condom unakuja huku kuomba ushauri mbona kitu chepesi tu kuamua
Sasa kondomu za Nini ....Wewe kweli Askari muogaWadau, huyu girl ananiambia hataki kondomu kabisa eti zina madhara anataka kutumia njia ya kalenda na mimi siijui.
utoto utoto tu kwahiyo akishauriwa avae condom mbio anaenda kwa demu wake na condomNdio wavulana wa siju hizi mama, taabu tupu.
Askari muoga kweli maana aliomba adi ushauri wa jinsi ya kugegedaMi najua wanaume wengi huwa hawapendi kutumia condom,wanawake ndio wanaforce matumizi ya condom
ila kwa askari muoga imekuwa vice versa