House girl wa boss ananiomba nifanye nae mapenzi

super mimi

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
223
171
Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Yapata wiki sasa kila nikirudi home kutoka job kuna huyu beki tatu wa mwenye nyumba anataka nimgonge, nikimwona siyo mkali kivilee naogopa asije akaniganda.

Yaani ikifika usiku text zake ni kero.

Msaada tafadhali wanajamvi.
 
Siwezi kuamini kama havutii mpaka utume picha.....la sivyo usingejiuliza hivyo.

Subiri kwanza....una miaka mingapi?
 
utakua hanisi wewe jambo la kipuuzi hivyo unaomba ushauri wa nini.

sikia mwite mwambia nakugonga lakini kaa utambue kuwa wewe si mpenzi wangu hivyo sitaki unigande wala kunifatafata.
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu.. Yapata wiki sasa kila nikirudi home kutoka job kuna huyu beki tatu WA mwenye nyumba anataka nimgonge nikimwona cyo mkali kivilee naogopa asije akanganda... Yaan ikifika usiku text zake ni kero Asee.. Msaada tafadhali wanqjamvi...
Alikuvamia kama Daudi alivyoivamia Mawingu kuchukua namba zako ama wewe mwenyewe ulimpa? Na huo msaada unaoomba ni kusaidiwa kugegedewa ama upi?
 
Muache kama miezi mitatu au minne uone mabadiliko..........utabambikiwa mimba (ya huyo boss wako?) halafu uje tena hapa na thread ya kutaka DNA! Ukishindwa kabisa kusubiri hakikisha huendi peku hata mara moja.

Wanawake wana mbinu nyingi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom