Kwanini kutongoza imekuwa ni kwa wanaume pekee?

Mehek

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
7,473
10,425
Habari zenu wana MMU,

Mimi nina swali kama kuna wenye majibu sahihi wanijibu.

> Ni kwanini wanaume peke yao ndio huwa wanatongoza kama akitokea kuvutiwa na msichana na sisi wanawake hatuwezi kufanya hivyo hata kama umetokea kuvutiwa na mwanaume flani?

Na wale wanawake wanaojaribu kuwaelezea hisia zao huonekana Malaya? Wakati sisi wote tuna moyo kama mlivyo nyinyi tatizo ni nini?

Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom