fund xaa
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 253
- 90
habari wakuu
mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba wenye mapenzi ya kweli awe kamaliza kidato cha nne au darasa la saba mimi ni mjasiriamali kipato cha ni cha kawaida tu mwanamke ninaye mtaka asiwe mnene sanaaaaaaaaa
sihitaji matusi wala kashifa.
natanguliza shukrani.