Enyi dada zetu kwanini mpate mimba zisizotarajiwa wakati zinaepukika?

Bernard bakari

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
407
781
Mimba ikishatokea mtoto huzaliwa, wakati mwingine mabinti namaanisha dada zetu hupata mimba bila wao kuwa tayari kupata ujauzito. Matokeo yake majuto, kukosa furaha ni upendo mdogo kwa watoto wanaozaliwa. Tumeshuhudia mara kadhaa watoto wachanga wakitupwa, madada wakipanga foleni kwa madaktari kutoa mimba.

Ili mimba itungwe mwanamke hutoa yai kwa kitaaramu tunaita OVULATION CIRCLE na yai huwa linapevuka siku ya 14 toka siku ya kwanza mwanamke alipoanza kubridi kitaalamu tunaita MESTRUTION CIRCLE. Kwa mfano kama mwanamke kaanza kubridi tarehe 8/4/2017 + 14 = 22/4/2017 ndo yai linapevuka.

Shahawa za mwanaume zinaweza kukaa kwa mwanamke baada ya kukojoa kwa siku tatu bila kupoteza nguvu za kutunga mimba namainisha kama yai litapevuka tarehe 22/4/2017 kama mwanamke atapokea shahawa kuanzia tarehe 19-22 atapata mimba, na yai likipevuka linakuwa na nguvu ya kuungana na mbegu kutunga mimba kwa siku 3. Namainisha toka tarehe 22-25 mwanamke akipata mbegu ya mwanaume anapata mimba

Ufafanuzi kwa kifupi kwa mwanamke ukianza tu kubridi chukua ile siku unayoanza hesabu siku 14 mbele kisha toka ile siku inayoangukia toka siku tatu nyuma na ongeza tatu mbele hizo siku zote za hatari. Ili kuwa salama zaid unaweza ongeza zako yaan ukatoa nne na kuongeza nne.

Ndani ya siku hizi za hatari usifanye mapenzi kama hutaki mimba, kama mwanamke anakuwa na nyege atumie kondomu au kama kondomu haipandi inaonekana kama inapunguza radha basi fanya mambo yako mwanaume akitaka kukojoa akojolee nje ndo usalama wa mwanamke asiyetaka mimba.

HESABU TAREHE EPUKA MIMBA ZISIZOTARAJIWA.
 
Hapo katika kukojoa nje. ..baada ya kila bao inabidi ukojoe ku safisha njia, hua kina vi shahawa vibish sana vinabaki baki
 
Mwanamke ana asilimia nyingi za kuzuia mimba . Mwili ni wake unaoingizwa. Siku ni zake anazijua. Mbebaji wa mimba ni yeye.
 
Back
Top Bottom