FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,094
- 1,358
Awali nilisita kuomba namba kwa kuhisi labda atanichomoa, lakini haikuwa vile, namba na jina vyote alinipa. Basi nikaanza hatua za awali.
Aliniambia anayachukia mapenzi sababu wote aliokuwa nao humkimbia, yani humuacha (nilimuonea huruma sababu hata kwangu pia hakuwa kwenye mikono salama) basi nikamtoa hofu ile kinafki na maisha yakaendelea.
Sasa wakuu nashindwa kuelewa, kwanini wale alokuwa nao walimuacha!
Papuchi napewa bila kodi, nikiyumba kiuchumi nawezeshwa, nimeacha kula kwa mama ntilie sababu yake (yani mtoto huja kunyonga misosi afu anasepa).
Wake zangu pia (wale wa kujiuza apa town) nimewapa break (sijawaacha kabisa, naomba hapa nieleweke, sitaki kusema uongo) sababu yake. Yani kuhusu ushauri wa miradi mipya mipya hapa ndio usiseme.
Sasa wakuu hapa ndio najiliza, kwanini wale walimuacha! Asije kunilipukia huyu.
Nishaurini jamani