Je, mtu ukichepuka inamaanisha humpendi mwenzi wako?

mafoleni

JF-Expert Member
Nov 18, 2016
220
371
Kuna jamaa mmoja alikua na mchepuko guest, mara mke wake akapiga simu na kuipokea mbele ya mchepuko wake na akauambia ukae kimya wakati anaongea na mkewe.

Sasa hapa najiuliza mwanamke au mwanaume kuchepuka ni kwamba humpendi mwenza wako?

Tusaidiane jamani.
 
Kuna jamaa mmoja alikua na mchepuko guest, mara mke wake akapiga simu na kuipokea mbele ya mchepuko wake na akauambia ukae kimya wakati anaongea na mkewe. Sasa hapa najiuliza mwanamke au mwanaume kuchepuka ni kwamba humpendi mwenza wako? Tusaidiana jamani.
Kuchepuka haimaanishi humpendi mke... Ni hulka na maumbile tu ya wanaume kuna movie inaitwa the last kiss na kuna movie inaitwa unfaithful ktk movie hizi utajifunza kwa pande zote mbili kwann tunachepuka na hata kujikuta una elemea kwa mchepuko.
 
hapana, kuchepuka ni tamaa ya kutafuta radha tofauti.

kuna mtu nilikuwa na uhusiano nae na nampenda mpaka leo (japo alisha olewa). ila nimechepuka mara kadhaa tukiwa kwenye mahusiano
 
muda mwingine kuchepuka huwa kuna okoa baadhi ya vitu katika mahusiano,utafiti unaonyesha hakuna watu aunderstanding na wepesi kusamehe kama wachepukaji wanapokosewa na wandani wao,hasa makosa yasiyohusu kuchepuka
 
Ukichepuka tu ni dhahiri humpendi mwenza wako.

Mimi kuliko kuchepuka bora niingie pornhub nicheki porn kisha nipige selfie basi.
 
Back
Top Bottom