Kwanini wanaume wanasumbuka sana ili mwanamke afike?

Kwanini wanaume wanasumbuka sana ili mwanamke afike?

Labda ungesema wanawake walalamikia wanaume kutokuwafikisha kileleleni...

Ila swala la kufikishana kileleni ni swala la ushirikiano...


Hapo pia kuna mawili tatizo linaweza kuwa kwa mwanamke mwenyewe... Kila anapoandaliwa yeye mawazo yake yote yapo kwenye kumchuna jamaa... Hatoweza fika keleleni...


Au tatizo linaweza kuwa kwa mwanaume.. Hajamuandaa mwanamke vizuri...

Cc: mahondaw
 
Kwasababu wanawake ni wavivu kutembea hivyo kufika gillman's point kunawapa tabu
 
Pesa umuhonge,halafu umfikishe kileleni?Kazi Hiyo ya kumridhisha mwanadamu ni sawa na kuziba shimo la panya kwa kipande cha mkate


Usisahau kumfukuzia hapo na kumtongoza mpaka akukubali!
 
Ukimpenda mwanaume huwezi kukumbuka ni mara ngapi kakufikisha kileleni. Mda wote ni kileleni tu.

Wanawake ndivyo tulivyo. Kama umpendi mda wote unawaza si litoke tuuu!
 
Sio kila mwanamke anafika kileleni,kuna wengine wanajifikisha ili mradi atue mzigo(mwili wenu) . akuibie(akuchune pesa ndefu) ujione kidume umemuweza kweli kumbe walaa anakuchora tu.
Umalize haraka aende zake au akafanye shughuli nyingine
 
Back
Top Bottom