Mchungaji illovo: Mwaliko wa harusi

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,096
Bwana Yesu asifiwe,

Poleni na majukumu wana JamiiForums wenzangu?

Ninayofuraha kuwashirikisha jambo jema la furaha na baraka. Kwamba mimi Mchungaji wenu ninatarajia kufunga mnamo tar 27--05--2017 jijini Dar.

Natarajia kufunga na mrembo Brightness Emmanuel.

Hivyo mkiwa kama ndugu na marafiki wa karibu napenda kuwashirikisha baraka hii. Hakuna mchango kamili ila unaweza kuchangia kama baraka kwa kias chochote Mungu atakachokuwezesha.

Lakini kwa pia ambao bado hawajaoa/kuolewa unaweza kujiunganisha kwa kuchangia chochote ili nawe Mungu aweze kukufungulia mlango mapema wa kupata mwenza wako. Ninaomba siku hiyo wanaJF mjitokeze kwa wingi tufahamiane vizuri. Bibi anatarajiwa kuvalishwa na mwana JF dada Apologise lady.

Unaweza kutumia namba hizi kushiriki baraka hii:

Vodacom= 0757856336
Airtel = 0788599211
Tigo. = 0673100772
Halotel. = 0623328088

KARIBUNI SANA NA MUNGU AWABARIKI
 
Bwana Yesu asifiwe!!! Poleni na majukumu wanajamiiforum wenzangu???

Ninayofuraha kuwashirikisha jambo jema la furaha na baraka.
Kwamba mm Mchungaji wenu ninatarajia kufunga mnamo tar 27--05--2017 jijini Dar.

Natarajia kufunga na mrembo Brightness Emmanuel.

Hivyo mkiwa kama ndg na marafiki wa karibu napenda kuwashirikisha baraka hii.

Hakuna mchango kamili,,,,,ila unaweza kuchangia kama baraka kwa kias chochote Mungu atakachokuwezesha.
Lakin kwa pia ambao bado hawajaoa/kuolewa unaweza kujiunganisha kwa kuchangia chochote ili nawe Mungu aweze kukufungulia mlango mapema wa kupata mwenza wako.
Ninaomba cku iyo wanaJf mjitokeze kwa wingi tufahamiane vzr. Bibi anatarajiwa kuvalishwa na mwanaJf dada Apologise lady.

Unaweza kutumia namba hizi kushiriki baraka hii::

Vodacom= 0757856336
Airtel = 0788599211
Tigo. = 0673100772
Halotel. = 0623328088

KARIBUNI SANA NA MUNGU AWABARIKI
Congrats
Mkuu hii ni serious au chit chat
 
Daaaah kweli mkuu kweli kabisa unaanza kulala naked duuuh hatar tupu

hongera yako wish all the best katika historia yako ya maisha
 
Mungu awe nanyi mkuu,
Pia shukrani kwa kutambua uwepo thamani yetu na uwepo wetu hapa JF,
Sitaki niwe mzungumzaji sana,
Zaidi,
Wishing you all the best mkuu.
 
Mkuu iyo ni serious kabsaaa,,,,kama mnavyonifaham au kufahamika humu Jf,,,mm cnaga mzaha ni Mtu wa Mungu kwelikweli. Hiyo hata Apologise lady anaijua.

Karibuni sana
Wengine ni watu wa shetani mkuu? Tengua kauli kwanza
 
Hongera mkuu, lkn hujatueleza ndoa unafungia kanisa gani na saa ngapi. Kushuhudia ndoa ikifungwa inapendeza sana.

Vv
 
Na ww kama ni mtu wa Mungu,,,,,,unaweza tuu kujiita,,wala hakuna shida mkuu. Hiyo ni kwa wote. Ingawa ukienda ktk masuala ya kiroho ndipo kunaweza kuwa na utofauti.
Barikiwa sana
Nimekupata mkuu thanks
 
Back
Top Bottom