Curvyminx
Senior Member
- Nov 29, 2016
- 179
- 221
Mimi sielewi, mtu unakuwaje na hamu ya kufanya mapenzi wakati huna hela? Unakuta unawaza na kuwazua how to hustle with a dime halafu bae anaomba game...hivi unafanyeje?
Kama sina hela sina hiyo hamu aisee, maana akili yangu inawaza kutafuta pesa, tutakula nini, kazi zitaendeshwa vipi, bili tunalipaje, hata usingizi hauji ila bae ana hamu! how? au mimi ndio mwenye tatizo?