Natafuta Rafiki Wa Kike

Dafraclav

Member
Feb 15, 2017
11
7
Habarini za jioni hii wana jamii Forum. Natafuta rafiki wa kike wa kuchat naye, kushauriana mambo ya maisha, pamoja na kubadilishana mawazo, sifa awe anaishi Mwanza, umri chini ya miaka 23. Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26. Kwa yeyote aliye tayar ani PM
 
Kama upo Kigoma sawa ila kama hpo Mwanza cheki cheki hapo kitaa kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom