Darasa huru: Masturbation kwa mwanaume na mwanamke

JohnSnow

Member
Dec 21, 2016
72
160
Wasalaaam wana jukwaa.

Ikiwa hali ya hewa inaruhusu nimeguswa kuleta somo fupi juu ya tatizo hili ambalo limekua la kiulimwengu sasa(global).

MASTURBATION ni nini hasa?

Hiki ni kitendo chochote akifanyacho mtu wa kike au kiume kuchochea ( stimulate) viungo vyake vya uzazi kufikia mshindo(orgasm).

KWANINI NI SHIDA KUACHA JAPO MADHARA YANAFAHAMIKA?

Kwenye mfumo wa neva kuna kemikali inayotolewa ijulikanayo kama DOPAMINE.Kemikali hii ndio huchochea brain rewards na pleasure centers( nimekosa kiswahili sanifu hapa).Hila ndo inahusika na vitu vinavyoupa ubongo hisia kali aidha za utamu, hasira au chuki.
Kemikali hii ndio inampa mtu hamu ya kucheza game kila wakati,kufanya kazi kwa bidii( motivation) n.k.
Sasa basi mtu akiwa ana masturbate kiwango kikubwa cha dopamine huzalishwa na kupata hisia kali za furaha.Wataalam wanasema ni sawa na morphine (200%)au tofauti kidgo na cocaine(250 -400%).hvo upata pleasure katika kiwango cha juu.

NINI MADHARA YAKE?

Ikiwa itafanyika kwa mda mrefu mhusika atakua anapoteza kiwango kikubwa cha dopamine.Hivo atakua na uwezo mdogo wa kukumbka,poor linear reasoning, kukosa motivation,mood swings, social anxiety ,kupoteza kujiamini ,nguvu za kiume (wanaume)nk.

MSAADA.
kwa kua ni suala la kisaikolojia mhusika anapaswa kufanya zoezi maalum(Nofap challenge).Linatakiwa kufanyika kati ya siku 30-90.Zoezi linahusika na kutoangalia porn(main stimulator) ,pia kukataa saut ya kwanza inayokushawishi kutenda (silaha kuu).Ni vyema ukaacha sasa kabla ujatumia kiwango cha dopamine nyingi na hvo maisha yako furaha yake kutegemea masturbation pekee na kushindwa kufurahia uasili wa ulimwengu.Wengi tulipita huko na tumeacha.
INAWEZEKANA,AMUA SASA,WAKATI NI HUU.
Mwisho.
 
ACHA MTU AFANYE HAKUNA MTU ANAYEPANGIWA JAMBO UNAPOWAAMBIA NA KUWAPIGIA KELELE NDIO UNAHARIBU KABISA UNGETULIA TU WENYEWE WANGEFANYA MAAMUZI
[HASHTAG]#MAISHA[/HASHTAG] NI KUPANGA NA KUCHAGUA KIPI UFANYE UPATE RAHA MANA HAYA YTE NI KUTAFUTA RAHA
 
Mkuu mm napendekeza mtu ili aache ku puchuka ni watu kuacha ku baniana maana mwanaume anatonoza alafu anakataliwa ww unazani atafanya nn< chamsingi ni watu waache kubaniana wawe huru Mwanamke au mwanaume Ukisikia hamu ya tendo kama Una rafiki yako Mwambie Nahamu yaku DO! so tusiwe waoga wakuomba Tendo Bhanaaa
 
Mkuu ingependeza kama ungeshauri njia mbadala ya kutuliza mihemko!
mihemuko ni suala la kibaiolojia na sehemu ya utendaji kazi wa mwili huwez zuia isitokee.Suala ni jinsi unapambana nayo mkuu.Hapa ndo self control ambayo hutofautiana kati ya mtu na mtu.
 
Back
Top Bottom