Wanaume wengi ni wavumilivu mbele ya wake zao

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
332
Amini usiamini wanaume wengi ni waahanga wa ukatili wa kijinsia toka kwa wake zao naaapa, wanawake wengi mnaonea waume zenu.

Tunatoa rai wanaume mjitokeze muende dawati la jinsia na watoto ili mpate hakii zenu msife kisabuni. Dawati la Jinsia linapokea jinsi zote me na kee.

Pazeni sauti acheni kupata presha au kukimbia nyumbani kisa uonevu wa wake zenu.

Viva wanaume amkeni.
 
Tatizo ni mazoea, tamaduni , na sheria zetu zime mfanya mwanamke kama ni mnyonge yaan hawez hata kunyanyua tonge ya ugali.
Lakin imesahau kuwa kuna exceptions kuna wanaume wanao onewa, wanaume wa aina hiyo msijikaze mwende kupata ushauri wa kitaalam, na wengi huona aibu jamii inasemaje, wakat inatakiwa waende kupewa msaada.
 
Na wanawake wanao ongoza kwa masumbwi na unyanyasaji kwa waumme zao ni kutoka uchaggani, Wapangwa na Wakinga siku zote wanalilia umwamba majumbani mwao.
Tafadhi msinishambulie huu ni mtazamo wangu tu...
 
Hili suala ni nyeti sana. Kwa kweli wanaume ni wavumili sana. Wanawake wanaongoza kwa tilalila lakini wakiguswa wanapiga kelele. Matukio ya ukatili dhidi ya wanaume yameshuhudiwa katika baadhi ya maeneo hususani SONGEA. Wanaume wananyanyaswa kinoma. Nenda kwa wana wake wanaojifanya wanajua mapenzi, tanga line. Nao hawajambo kwa vibondo kwa waume zao.
Wenzetu Kenya mwaka 2013 waliandamana kupinga ukatili na vipondo wanvyopatiwa na waume zao. Tuliwacheka. Lakini ukweli ni kwamba wanawake ni wanyanyasaji sana.
Nina Jirani yangu ananyimwa dudu na mume na kugawa dudu kwa mtumishi wa Mungu. Mume anajua lakini Sijui kuna nini kinachofanya asichukue hatua.
Mbaya zaidi, mwanamke akiamua kuchukua hatua ukatili dhidi ya mwanaume anatumia nguvu zote alizojaliwa na mwenyezi Mungu ambapo hata hajishughulishi kupima madhara yake. Wana maamuzi magumu kama Bashite vile.
 
Amini usiamini.... Wanaume wengi ni waahanga wa ukatili wa kijinsia toka kwa wake zao.... Naaapa, wanawake wengi mnaonea waume zenu.... Tunatoa rai wanaume mjitokeze muende dawati la Jinsia na Watoto ili mpate hakii zenu... Msife kisabuni.... Dawati la Jinsia linapokea jinsi zote... me na kee.... Pazeni sauti ....acheni kupata presha au kukimbia nyumbani kisa uonevu wa wake zenu.....

Viva... wanaume amkeni.....
Yamekukuta...?!
 
Na wanawake wanao ongoza kwa masumbwi na unyanyasaji kwa waumme zao ni kutoka uchaggani, Wapangwa na Wakinga siku zote wanalilia umwamba majumbani mwao.
Tafadhi msinishambulie huu ni mtazamo wangu tu...
Uko sahihi tu
 
Wanaume wanaoteseka kwenye ndoa wengi ni wale waliooa kwa kukurupuka hasa sababu ikiwa mimba,fulani kaoa wacha na mie nioe,shinikizo toka kwa jamii,wazazi,walezi,mke wa kuchaguliwa. Au jamaa kaoa mke anayemzidi kipato au ameajiriwa kwenye kampuni ya familia ya mke,mwingine kalishwa madawa. Hawa hata wakienda shtaki wapi hawatapata msaada maana majanga mengine ni ya kujitakia
 
Mwanaume huwezi kunyanyasika kama unamudu familia kama baba..

Ukiwa marioo lazima uteseke unazodolewe na kunyanyaswa.. Hamna namna
 
Amini usiamini wanaume wengi ni waahanga wa ukatili wa kijinsia toka kwa wake zao naaapa, wanawake wengi mnaonea waume zenu.

Tunatoa rai wanaume mjitokeze muende dawati la jinsia na watoto ili mpate hakii zenu msife kisabuni. Dawati la Jinsia linapokea jinsi zote me na kee.

Pazeni sauti acheni kupata presha au kukimbia nyumbani kisa uonevu wa wake zenu.

Viva wanaume amkeni.
No need to dawati la jinsia, mwanaume ndie mtawala sasa dawati la jinsia ni moja ya kuonesha weakness kama mtawala. mwanamke ndie mwenye haki hiyo ili kusawazisha mambo kama manamme amekengeuka kwenye utawala.
mawazo yangu:D:D:D:D

natamani siku mwanaume wa kikurya amuoe mwanamke mkikuyu, sipati picha:D:D:D
 
Ukatili wa mkeo ni kutokumwelewa...

Mkuu maandiko yanasema uishi nao kwa akili...

Kazi ni kwako...!
 
hivi kweli mwanaume wa kikurya ninyanyaswe na mwanamke?
not to that extent
 
Back
Top Bottom