Ncherry1
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 2,181
- 2,249
Kumpenda mtu yoyote cyo dhambi au kosa sababu upendo ni kitu pekee kschoumiza hapa duniani ila tu usalit,kukataliwa, upweke na udanganyfu wa aina yoyote katika upendo unaumiza saana ila upendo ni raha na ni chanzo cha mambo yote hapa duniani..
Naamini katk dunia hii kila mtu ana haki ya kupendwa na nahs ni moja ya hitaj la moyo wa kiumbe chochote hata kiwe na roho ngumu kiasi gani kikipata upendo mubashara lazma kionyeshe upendo mubashara! Let love lead even God loves us and He is jealous of us as his people!