No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
Najua kabisa mna kipaji maalum mmepewa na Mungu cha kutufahamu sisi watoto waume zenu watoto tuliozaliwa na wanawake wenzenu mna uwezo nguvu za kipekee mlizajaaliwa na Mungu ila hamtaki kuzitumia kwa manufaa ya wote!
Mmekuwa wabinafsi kupitiliza, mnatuona kabisa waume zenu tunahangaika na michepuko huko nje naamini sababu mnaijua ila ubinafsi umewatawala na rohombaya mnataka kuwa peke yenu kwenye nyumba wakati mnajua kabisa kuna vitu nyie hamnavyo ila wanawake wenzenu huko nje wanavyo kwa nini msitusaidie kutafuta?
Kwa mfano we unajua kabisa mumeo kakupendea sura yako nzuri lakini jirani yako hajaolewa ila ana chura! Kwanini usinishauri nimuoe ili mumeo niridhike nisitoke nje ya ndoa?
Hebu fikirieni hili swala Hii Dunia sasa hivi kila mwanamke angemshauri mumewe kungekuwa na michepuko kweli? BADILIKENI.....Kwa taarifa yenu michepuko inafaidi kuliko hata nyie mliopo ndani.