Nimewiwa kuwashirikisha ninachokiona mwaka huu. Kwa kweli uzazi ni wa kutosha. Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra kukutana na mama mjamzito barabarani.
Kwa kweli mwaka huu ni baraka tele. Kila kona nikiangalia sikosi kuona m/mama/dada katika uhalisia wao wakipendeza. Kweli mwaka huu uzazi upo.
Sijui ni macho yangu yananidanganya? Mungu awabariki kina mama/dada katika jukumu lenu muhimu. Ila mwaka huu ni special.