Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Dah kwanza huwa mnanikata stimu kweli ,unapiga simu ya mshkaji kumpa mipango,ghafla unakutana na sauti ya mtoto wa kike...
Unajaribu kuangalia namba labda umekosea kumbe ndo yenyewe.
Chapili majibu yao yanakuwa ni yakishenzi na ya kukatisha tamaa yaani kana kwamba mshikaji yuko hostage...
Tatu hata ukiacha salam huwa mlengwa Hafikishiwi..
Mnawakosesha sana madeal jamaa zenu ..
maana mnapokea simu za watu wakati wenyewe hawajui na hata mkipokea salam huwa hazifiki kwamba kuna mtu alipiga...