Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna hili suala la wanawake kutongozwa kisha kumwambia mwanaume kuwa ametongozwa na flani na ameahidiwa kitu gani. Binafsi limenitokea mara kadhaa, kuna wanawake ambao ni marafiki tu wa kawaida...
1 Reactions
76 Replies
13K Views
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 32,ni mwalim kwa tauuluma elim yangu ni degree moja.Mwanamke awe mwislam akiwa din nyingne akubali kubadlisha din, Elim yake isiwe chin ya kdato cha nne na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo nimepita maeneo ya Mbalamwezi beach nikakumbuka kisa fulani kilichotokea 2012. Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza, nilikuwa na kibaby flani cha kichaga. Alikuwa handsome balaa, ana gari (japo la...
31 Reactions
271 Replies
23K Views
habari wana jamvi leo nimeamua na mm nijitokeze baada ya miezi mingi bila. Katika mihangaiko yangu mwanzo wa mwaka huu nilikutana na mdada mzuri ambaye anavaa mavaz ya asili ya kiarabu (juba)...
2 Reactions
77 Replies
17K Views
Niaje wana Jamvi? Nakumbuka miaka ya nyuma tulizoea kuona wanaume ndo wana vitambi hasa wale wenye fedha japo wachache waliozoea shida nao walikua na vitambi. Ila sasa imekua tofauti na miaka ya...
2 Reactions
115 Replies
17K Views
Habari za saa hizi wakuu na poleni kwa mchaka mchaka wa siku nzima.. Najogea mahali hapa nikiwa nahitaji mawazo yeye wanajf wenzangu. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili(chuo kapuni) nina huyu...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimefanya utafiti mkubwa kwa kipindi cha week moja nimegundua aya mambo yafuatayo . Ukipita mitandaoni utagundua asilimia kubwa ya lawama dhidi ya mapenzi na ndoa utaona wanaume ndo wanaongoza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanabodi, Yamenikuta mwanaume mwenzenu, yaani shemeji yenu aliyonifanyia sitakaa nisahau, Juzi niliamua kujipumzisha nyumbani sasa nikiwa busy kuangalia movie simu ya wife ikaita maana alikua...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Una Mimba eh...Sawa.... Ni Matunda ya 'shughuli uliyoshughulika kuishughulikia siku ile ya shughuli,...Unasema hukutegemea...Hapo ndo wazimu unapoanzia, Unamnywesha farasi wako Petroli ili akimbie...
20 Reactions
72 Replies
6K Views
Kisa chenyewe kipo hivi.. Asubuhi ya tarehe 17/2 mwaka huu nilimtafuta mpenzi wangu kwenye simu kumjulia hali kwani jana yake alikuwa mgonjwa. Bahati mbaya nilimtafuta kwa muda mrefu bila...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 27 elimu yangu ni diploma ya ualimu na nimebahatika kuajiriwa serikalini shule moja iliyo apa mkoni singida natafuta mwanamke ambae atakuwa tayar kuolewa na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana, Nimepitia michango yenu yote mlioitoa kwenye uzi wangu wa jana uliosomeka "Nataka kujilipua kuoa". Nawashukuru nyote. Maamuzi niliyoyafikia: Nimeamua kujilipua kuoa. Na sasa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Nilipata wasaa wakumtembelea bro Arusha kufika kama kawaida nilikaa kidogo japo miezi miwili basi pale kwa bro kulikuwa na ndugu wengine wamekuja pale mmoja nilimkuta mwingine alikuja baada ya...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimekuwa nikichepuka na mke ya Mutu kwa muda sasa bila hata ya uyo bwana wake kujua Kama ilivyo kawaida za mwizi ni 40, jana mme wake kanasa sms zangu kwa wife wake na kathibitisha mimi ndio huwa...
1 Reactions
68 Replies
5K Views
Ninapoelekea sasa nitasitisha kuwa na Urafiki na Wanaume kwani sijui ni kwanini kila nikianzisha tu Urafiki na Mwanaume mwenzangu halafu akinikaribisha tu Kwake basi nikimkuta tu ama Demu au Mkewe...
7 Reactions
115 Replies
12K Views
Rejea heading hapo juu Ni kwnn watoto wa kike ni weng kulko wakiume
0 Reactions
29 Replies
5K Views
wakuuu! demu wangu baada ya kufanya ujasusi wake wa kimya kimya ingawa nilikuwa najua kama nipo chini ya uchunguzi sasa juzi kati hapo kaja na wazo mgando eti akae na simu yangu japo kwa siku...
4 Reactions
99 Replies
7K Views
Habari GT wa humu MMU. Niliwamiss kwa muda sana members wenzangu. Twende kwenye point. Jamani ndugu zetu wasichana na wanawake hivi mnataka sisi tuweje ili mtupende? Maana kila mtu analeta visa...
5 Reactions
60 Replies
6K Views
Kama inavyojieleza hapo kichwa cha habari wale mwenzangu tunaopenda kukaa Yale maficho yenye watoto wazuli hebu tukutane hapa kidogo....... Mimi moja kati ya maficho ninayoyafahamu kuna...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Ipi tofauti halisi ya ndoa na tendo la ndoa, Mtoto wa ndani ya ndoa Vs wa nje ya ndoa
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…