boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,397
habari wana jamvi leo nimeamua na mm nijitokeze baada ya miezi mingi bila.
Katika mihangaiko yangu mwanzo wa mwaka huu nilikutana na mdada mzuri ambaye anavaa mavaz ya asili ya kiarabu (juba) nilivyomuona kwa sura nilimpenda. Nikamfata tukaongea ikawa tuwasiliana kama marafiki baada ya wiki kadhaa nikamwambia lengo kuu, alileta vipingamizi ila cyo sana ni vya kawaida tu.
Mwanzo nilidhan ni mzuri wa sura tu, kumbe hata umbo lake ni mashalah, hapo ndipo nikajua kuwa juba linaficha ualisia wa mema ya nchi
Kilichonifanya nije kwenu ndugu huyu mtoto hataki kabisa kutumia ndom, yaani me nikitaka kula mema ya nchi (kugegeda) na ndom anakasirika kabisa anasema zina madhala makubwa kwa mwanamke japo hajanieleza madhala gani.
Ninachoitaji toka kwenu niambieni madhara ya kondomu, kuhusu kugegeda nishamgegeda kavukavu ila dah moyon sina aman kabisa