Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 32,ni mwalim kwa tauuluma elim yangu ni degree moja.Mwanamke awe mwislam akiwa din nyingne akubali kubadlisha din, Elim yake isiwe chin ya kdato cha nne na atakapoolewa akubali kuvaa ushungi. Nashukuru kwa kuwasilisha