Wife material yupo hivi

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,796
49,427
kuna hadithi ya mke MMOJA WA MTUME ,yule mama alikuwa na adabu kiasi kwamba alikuwa akilala akitaka kugeuka lazima aombe ruhusa kwa mumewe! baby mpenzi mume wangu naomba kugeuka upande wa mbili mbavu zimechoka upande huu.mume akimpa rukhsa ndo anageuka tena kwa sala.
sio kizazi hiki cha kwetu tunageuka kama pipa nilashuka mabondeni yaani kama upo karibu unateguliwa hadi makende ! poleni sana wanaume maana vijambo mnavonusa usiku,? hyo mikoromo, bado mtu ageuke kama bomu plus stress za magufuli ukiishi miaka 70 shukuru Mungu
 
hahaaha..bado mateke umesahau.
akigeuka na spidi yake wengine wanarusha miguu hewani wakishusha ombea usikutane mfupa kwa mfupa
 
Mke: Mume wangu .... Mume wangu... Mume wangu..

Mme: Nini bwana tunasumbuana usiku....

Mke: Naomba nigeuke mbavu zinani...(Kofi, kelbu).

Mme: Kuamshana usiku kwa mambo ya kipuuzi sitaki, mwili wako ruhusa uniombe mimi? Pumbavu..

Mke: (Huku akilia) Lak...laki...lakini mume wangu mimi ni wife material..

Mme: Shenzi sana tangu uwe wife material, Loan Board wamepunguza 15%? Mshahara nyongeza imepanda? Yule nanihii amejiuzulu? Usiniletee uchuro usiku huu mimi.

Mke: (Kilio kinazidi) ba....ba..ba..si nis..ame...he.

Mme: Wee shhhshhhh usipigie watu kelele.

Siku imeisha
 
ahaaaa kihere here kinakuisha
 
Kuna mtu alimuwacha mke kwa kuwa ana jamba sana.

Mwengine alimuwacha mke kwa kuwa ana sauti kali.
kujamba kwani ni ulemabu si angetibiwa tu ? kuhusu sauti si aliisikia kabla hata ya kumuona au ilikuja kubadilika ndani?
 
Back
Top Bottom