Dada zetu punguzeni kuomba pesa mitandaoni

chiumbimnungu

Senior Member
Mar 25, 2017
151
217
Siku hizi naona dada zetu mishipa ya aibu imekatika kabisa kiasi kwamba kuomba kwao sasa imekuwa kama ndio mfumo wa maisha yao.

Imefikia hata unaogopa kuzoeana nao kwani mkishazoeana kidogo tu wanaanza vibomu na sana sana huwa wanapenda kuomba 30,000 yaani inafikia kwa siku unaombwa pesa na wadada hata 5 mpaka unajiuliza kama hivi haya ndio maisha yanayowaweka kwenye mitandao au wale wachovu huwa wanaomba 10,000.

Dada zetu maisha yamekuwa magumu kila mtu aangalie maisha na familia yake sasa wakati wa kupeana pesa kirahisi rahisi umeshapita piga kazi upate pesa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom