Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habar wana JF Natafuta girl alie na shida kama yang i mean natafuta mchumba miaka at least awe na 18=>23.... Mimi nina umri wa miaka 22 nina kaz inayoniingizia kipato alie tayar ani PM ni hayo 2.
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Katika pitapita zangu nimekutana na mjadala huu; Usemao makosa matano ya mwanamke yanamfanya mwanaume kumsaliti mwanamke katika uhusiano. 1.Mwanamke kumnyima papuchi mwanaume wake. 2.Mwanamke...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
February 18 Mwaka huu Mwenza wangu alipata ajali ya gari, na baadae aligundulika kua amevunjika nyonga hivyo alifanyiwa upasuaji Muhimbili Mpaka sasa tunamshukuru Mungu anaendelea vizuri. Tatizo...
75 Reactions
255 Replies
29K Views
Habari zenu wana MMU, Leo nimeona niwaletee kisa ambacho kilinikuta miaka michache HUKO nyuma. Nikiwa chuo mwaka wa Pili katika pita pita zangu za mitaani nilikutana na binti mrembo mwenye asili...
16 Reactions
107 Replies
11K Views
.,. ....
0 Reactions
3 Replies
903 Views
1.Pato la familia litaongezeka 2.Malengo yatakamilika Haraka 3.Familia itaongezeka 4.Kulea watoto wengi wa wanaume wenzako 5.Mwanaume kuachika! 6.Unapomfungulia mwanamke biashara jiandae...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wana jf wenzangu. Kuna swali nimekuwa najiukiza usiku na mchana ,kwa kipindi kirefu sana bila kupata majibu yalosahihi, Nikaona isiwe tabu wacha nililete humu huwenda...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Hello everyone, I am a woman who is looking for someone to start a friendship with a guy which could lead to other things. I am 31, I have 1 child. I have a PhD. I am down to earth and easy going...
12 Reactions
97 Replies
6K Views
Habari, Kesho itakuwa siku muhimu katika maisha yangu kwani naenda kupima umri wa maisha niliyobaki nayo, naogopa kweli coz nilipita njia sio salama. Mchumba wangu ana mimba kesho ndo clinic...
10 Reactions
125 Replies
9K Views
We MWANAMKE fikiria Mara 2 kabla hujamkataa wanaumme... Idadi ya watu duniani =7.8 billion Wanawake = 5.6 billion Wanaume =2.2 billion Kati ya wanaumme 2.2 billion 1 billion= wameshaoa tayary...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Rejea mada tajwa hapo juu: kama ilivyozoeleka kumpata demu hadi kauongo kahusike ..binafsi nakumbuka demu wangu nilimwambia kwamba sijawahi kuwa na mpenzi mwingine zaid yake...dah c...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
KIJANA EPUKA kufanya PUNYETO ina madhara kiafya. Punyeto ni aina ya mapenzi ambayo mtu huyafanya binafsi, ukiwasikiliza vijana wengi watakuambia wanatumia sabuni n.k ili kufanya mapenzi binafsi...
11 Reactions
84 Replies
40K Views
Habari wana JF, Hivi umewahi kukutana na swali hilo toka kwa mpenzio? Na je pana changamoto yoyote kati ya wawili wapendanao sababu ya kabila la mmoja wao? Tushirikishane uzoefu na kama uko...
0 Reactions
354 Replies
33K Views
Habarini za mchana wana jukwaa, ni matumaini yangu kuwa muu wazima na mnaendelea na maandalizi ya kumpokea mtoto Yesu kwa wale wakristo wenzangu. Baada ya kusema hayo nirudi moja kwa moja kwenye...
12 Reactions
104 Replies
12K Views
Kwenu wanaume wenzangu. Nimefanya utafiti wangu ambao si rasmi na nimegundua ukitaka kuwa na umiliki wa dhati kwa mwanamke ni lazima uwe umemwachia alama (mark) moja ama vizuri zaidi iwe zaidi ya...
26 Reactions
144 Replies
27K Views
Habari zenu mabibi na mabwana, Ni kijana wenu mwema mwenye umri wa miaka 26. Kipato changu ni elfu 8 hadi 10 tu kwa siku, na nimepanga chumba kimoja. Nimechakata data kichwani, nikapata wazo la...
3 Reactions
92 Replies
10K Views
Ndugu wanajamvi kama kichwa kinavyojieleza naomba tusome kisa hiki kwa pamoja Kuna Binti mmoja aliyelelewa katika Familia ya Dini asema alipofika Sekondari ikawa kuna Kijana anamfuata fuata tena...
6 Reactions
53 Replies
8K Views
daaaaaaaaah hapa nimetoka kuvushwa na mke wa mtu ni muda mrefu sana huyu demu anadai ananipenda na hata mm pia nampenda ni mzuri kweli sasa leo nimevunja amri ya sita ya mungu wangu na kesho...
6 Reactions
65 Replies
15K Views
Dini Kwanza namchukia aloleta dini kwasababu zimetubagua na kututenga kwenye jamii,pili kama umekulia maadili ya dini flani ukitaka kuoa/kuolewa upande mwingine lazima washauri watajiinua sana...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Nipo safarini na Mume wangu sote tupo likizo,sasa katika kuzurula kwetu tumefikia hotelini Mara ikatokea kuzoeana na couple moja hivi ipo honeymoon ,kilicho nishangaza Ze lady hana Furaha sana...
4 Reactions
141 Replies
15K Views
Back
Top Bottom