Leo nahamuu ya kucheza wadau naomba msaada wapi pananogaa kati ya EAST 24 NA HYAAT KWA DJ JOHN D.TAFADHALI
yeah sureMara moja kwa mwaka sio mbaya
mm kote kote napapenda ila kidogo kwa jdNiko njia panda lazima kuna zaidi Shunie nichagulie
hata sijui mambo hayokote kote pananoga
hahahah pole sana shosthata sijui mambo hayo
uzee tayariMiss Natafuta kama hujui unakuta kucheza sio kipaji
sijawai enda club toka nizaliwe.kwa wazee ndo wapi? nianze kwenda?Uko ndo kwa wazee sasa au unaenda maisha?