Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Kwa wale wanaume wa ukweli ambao tunatoka mkoa wa Mara na wale ambao tulitahiriwa bila ganzi enzi hizo. Hebu tukumbushane hali ilivokuwa na namna hali ilivokuwa.
Binafsi nilipata maymivu makali sana na bahati nzuri sikulia hali iliyonifanya kuzadiwa ng'ombe saba pesa kibao. Kiukweli kuna maumivu makali si mchezo.
VP wewe hali ilikuwaje na ulizawadiwaje baada ya kazi kukamilika?.