Wanaume wote ni waaminifu

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
4,467
11,360
Habari wakuu,

Nipo kwenye kautafiti,
Chonde chonde wakuu msinipige wala kunisimanga haka kautafiti sio kama kale ka twaweza, haka ni ka utafiti binafsi,

Wale wazee wa tanzania ya viwanda nadhani mmenielewa chonde chonde wakuu,

Andika neno YES kama ni kweli ,
Bofya like kama SIKWELI,

NB: Nimefanya hivyo ilikupata takwimu sahihi ambazo zitahesabika haraka na kwa uweledi mkubwa, usi comment neno lolote tofauti na neno YES,


Utafiti ni huu hapa
88e2a460892e456eb14b67ab5a37983d.jpg

Ahsanteni..
..
 
hujasema waaminifu kwenye nini... kuna huyu jamaa anayeongoza nchi sidhani kama mwaminifu... ni mwongo mwenye vitisho hatari..!
 
Tangulini wabongo tukafuata kanuni au sheria Za maagizo? MMOJA WAPO MIMI
 
hujasema waaminifu kwenye nini... kuna huyu jamaa anayeongoza nchi sidhani kama mwaminifu... ni mwongo mwenye vitisho hatari..!
Kwani hili ni jukwaa gani? Kama ungekuwa mtihani alafu mimi ndio nikawa mwalimu wako lep ungetaga.
 
Back
Top Bottom